Umri huo ndio wanaita foolish age,kwhyo vumilia tu utakutana na mengi ya kifoolish foolish.
Habar zenu wana JF
mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa dini zetu ni tofauti hata kama ananipenda. Mimi nampenda sana huyu msichana na vile vile ctaki niingilie kwenye masuala ya imani yake. Naombeni ushaur jaman...
nawasilisha
Yaani atoke kwenye dini ya haki amfuate Mwanamke kwenye ile dini ya dhulma!?Badili dini yako umfate yake, si wewe ndio uliopenda? chagua, dini au mbunye.
Yaani atoke kwenye dini ya haki amfuate Mwanamke kwenye ile dini ya dhulma!?
Chaguo ni lake. Si wewe wala si mimi tunaeweza mfanyia maamuzi hayo. Dini au mbunye.
My God, kwahiyo mkiachana unabaki kwenye hiyo dini au unarudi kwenye dini yako uliyorithi?Sure mi nilijikuta kwenye kizungumkuti hiki, nikachagua mbunye.
Wewe feyshizzo umeanzisha thread halafu wewe mwenyewe uko online lakini umeuchuna tu, huoni kama kuna mahojiano unatakiwa ujibu baadhi ya hoja?
Ila 22 years old why ur not in the school?
Badili dini yako umfate yake, si wewe ndio uliopenda? chagua, dini au mbunye.