Yono Auction Mart yazidiwa na wateja wanaotaka kununua mali za Musiba

Baada ya Sauli kufaa, Abneri alirudi kwa Daudi... Alipotengeneza na Daudiii Akasahau Yoabu anakumbukaaa, kifo alichomuua nduguyee, Ahasaheli wakati wa vitaa, Yoabu akamuua Abneri,.....Abneri... Abneri... Umekufajee Abnerii... Abneri.. Abneri.. Daudi aliliiiaaaaaaa!! - Bahati Bukuku!!
Haleluyaa !
 
Anamchukia Musiba kwani yeye amedhalilishwa naye? Au umeona kamfungulia mashtaka Musiba?
Nyie ndio mnafanya watu wajinga kama Musiba wanaendelea kuwepo kwa vile kuna mnaowatetea kuwa hawajakosea.
Hivi kumtukana mtu mzima hadharani kama Membe eti atampaka shedo na kuyafanya makalio makubwa unaweza kuona ni sawa? Huyo ni baba wa familia, mume wa mtu na kiongozi wa watu hapaswi kutamkiwa maneno kama hayo!
Hivi mnadhani kila aliyemdhalilisha angeshtaki angebaki mtu huyo Musiba? Angejikuta ana fungwa vifungo vingi hadi vingine angemalizia ahera
Musiba kutomtendea haki Membe, haihalalishi mtu mwingine pia kutomtendea haki Musiba. Dont take his ball just because he took yours. Two wrongs do not make a right.
 
Mbona Chadema mnashadadia maugomvi ya CCM? Membe, Musiba wote walewale ila nyie ndio mnavipa vitu hivi airtime sana. Hao kesho wakipatana mnafanyaje?

Chadema mmeruhusiwa kufanya mikutano imekufa yote! Lissu ni kama hayupo! Hivi nyie ndio kweli kwa dhati mnaitaka ikulu?

Sisi wengine mnatuona wakorofi lakini mmejaa maigizo sana!
..hivi we mse.nge hawa chadema walikufanyaga nini? Yani hakuna unachofikiri bila kuwahusisha chadema! Umekua kama chizi yani..hata chadema wakisema mambo ya msingi wewe bado yanakuuma...hao ccm walikufi.ra utam...muwasho haukuishi....mimi si chadema lakini michango yako inatia kinyaa kama cha shoga vile ....
 
Ikiwa yamebakia masaa machache kabla ya kuhitimishwa kwa muda uliotolewa na Mahakama, wa Cyprian Musiba kumlipa Ndugu Bernard Membe kitita cha hela Taslim zaidi ya Bil 9 za kitanzania , na huku kukikosekana dalili zozote za Ndugu Musiba au Marafiki zake kulipa fidia hiyo , Habari zilizotufikia zinadai kwamba Madalali waliopewa idhini ya kuuza mali hizo Wamezidiwa na Wateja .

Taarifa zinaeleza kwamba ofisi za Yono za Dar es salaam na Dodoma zimefurika maombi ya Wateja kiasi cha kuwachanganya wahusika , Hata hivyo kampuni ya Yono imedai kwamba atakayeuziwa ni yule atakayelipa zaidi kuliko wengine .

Kwa kifupi ni kwamba mali zote za Musiba ni kama zishauzwa , kinachosubiriwa ni kukamilika kwa michakato ya kisheria tu .

Tunarudia tena kuonya kama tulivyofanya miaka yote kwamba vijana jitahidini kuishi kwa haki , maana siku ya siku KILA UBAYA UTALIPWA .

View attachment 2602743
Ngoja mzee wa 900 itapendeza zaidi nitie mguu pale watapoteana
 
Apambane na hali yake, tukukana wazee senior waliolitumikia Taifa letu kwa weredi mkubwa na kwa kujitolea ni laana, hii iwe fundisho na uwe mwisho. Kuna jamaa moja lilimpiga ngwara Makamu wa Rais na Waziri Mkuu mstaafu Jaji Warioba sijui kwa nini bado linaranda randa mitaani hadi leo.
 
Back
Top Bottom