Yonni Barrios-

Azadirachta

Senior Member
Oct 9, 2010
171
11
Yonni Barrios (50)

Huyu bwana alikuwa ni miongoni mwa wale wahanga wa Chile waliokwama mgodini kwa siku 69. Alipoopolewa kitu cha kwanza alienda kumbusu hawara yake badala ya mkewe aliyezaa watoto watatu na kuishi naye kwa miaka 28. Aliomba wote wawepo eneo la tukio huyu Yonni is either cheecky, or very idiotic wenzake walisikika wakisema.

article-1320112-0B9AD622000005DC-456_306x377.jpg


Mkewe alibaki akishangaa tu

article-1320112-0B98722F000005DC-37_306x423.jpg


Ama kweli penzi ni kitendawili, jamaa amenipa funzo why should I get married if I can not get away na infidelity.

Story kamili hii hapa


Chilean miner Yonni Barrios extra-marital affair was exposed while he was trapped | Mail Online
 
Alikuwa anambeep Mungu! ametoka hai shimoni badala ya kutubu na kuacha dhambi.........! au labda ni mzee wa agano la kale!:whistle:
 
kiongozi umesahau kuwa Hakuna Infidelity pasipokuwa na Ndoa!!!!!!Dependent variables hizo.
 
kiongozi umesahau kuwa Hakuna Infidelity pasipokuwa na Ndoa!!!!!!Dependent variables hizo.

Hahahaha nadhani cheating ni tamu zaidi hasa upokuwa umeowa! Imagine jamaa kakaa siku 69 shimoni anatoka anawahi mlupo! Hii kali sana
 
mkewe anatia huruma.usikute ni mke aliyekua akikesha kwa maombina vilio huku hawara akifurahi na vibuzi vingine.
dunia hiii basi tu
 
mkewe anatia huruma.usikute ni mke aliyekua akikesha kwa maombina vilio huku hawara akifurahi na vibuzi vingine.
dunia hiii basi tu

I was so touched na hili tukio, maana niliangalia tokea jamaa akiingizwa kwenye capsule hadi anaopolewa! Lakini mambo ya ndoa yaache kama yalivyo jamaa anajua kipi bora hapo mke ama mlupo!
 
Huyu jamaa alinikera hata mimi. Nilidhani angezuga kidogo kwa wife halafu atafute upenyo baadaye kwenda kuonja vitamu kwa nyumba ndogo. Kwa mtaji huo haweza kuwa member wa ISC kwa sababu ameshindwa kutoa due respect kwa wife na familia. Kwa maoni yangu ni mpuuzi sana huyu jamaa, labda kama angekuwa amempa talaka mke wake wa ndoa.

Ila ukweli unabaki pale pale kwamba Infii zinachanganya sana na kama mtu hana uzoefu ndo basi tena, anaweza kulowea kama Barrios.
 
We sister kumbe hufai kuolewa! Katii ya watu walio okolewa mgodini, ni asilimia ngapi walibusiana na wake zao?
Kama walikuwa 33, na 32 walibusiana na wake zao hiyo ni asilimia ngapi walio fanya sahihi? Kweli wewe atakaye kuoa atapata shida. kweli uamuzi wako ni sahii kwani hakuna mme yuko tayari kuoa mtu wa kujishaua.
 
Inasikitisha sana hasa nikimwangalia huyo mama,kwa hakika ndoa ni uvumilivu.SAY NOOOOOOO TO INFIIII:A S 103::A S 103::A S 103:
 
Back
Top Bottom