Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,701
- 13,671
Timu yenye nidhamu yanga,. Hahahaaaa izrael mkongo umeona aibu yako, mwaka jana ulutuaribia vijana wetu wenye nizam wakakupa mkong'oto
Imemsaidia zaidi Nkongo.......
Timu yenye nidhamu yanga,. Hahahaaaa izrael mkongo umeona aibu yako, mwaka jana ulutuaribia vijana wetu wenye nizam wakakupa mkong'oto
Itakua ni kuruka juu kama nyani,na wala sii kuokoa michomo mingi au kufungwa magoli machache.
Imemsaidia zaidi Nkongo.......
Kuepuka vipigo visivyo vya lazima.Imemsaidia nini mkuu
Hapo kwenye timu yenye nidhamu sikubalianinapo.