Baraka F.K
Member
- Aug 28, 2012
- 79
- 28
Hivi kumpata Kipa bora wametumia vigezo gani?
Hivi kumpata Kipa bora wametumia vigezo gani?
Safi sana zawadi ziangaliwe upya na pia wawasaidie gharama za usafiri,malazi,vifaa vya mazoezi,matibabu kwa kila timu kupunguza utegemezi wa milangoni!hongera sana Vodacom!!
nassoro choro nadhani alistahili kuwa mchezaji mwenye nidhamu
Kwani lazima atoke Simba au Yanga?
kuna sehemu apo nimeandika lazima atoke simba au yanga?
Hebu fafanua basi huyo aliyechaguliwa ana kasoro gani ukimlinganisha na Cholo?
mkuu nimemzungumzia chollo kwasababu nimemuona mechi nying na ana kadi chache za njano
Itakua ni kuruka juu kama nyani,na wala sii kuokoa michomo mingi au kufungwa magoli machache.Hivi kumpata Kipa bora wametumia vigezo gani?
utahoji mpaka lini!!!!!!! mbona Yanga kuwa Timu yenye nidhamu ukuhoji; au ulitaka Bartez aliyekua analindwa vilivyo na Yondani ndo awe Kipa Bora?Hivi kumpata Kipa bora wametumia vigezo gani?
Soka limekua....ila usikimbilie kusema Simba na Yanga hawatengenezi Chipukizi, we unafikili Seleman Matola na Amri Saidi wanafanya nini na kikosi cha Simba B alikadhalika na upande wa Yanga.....pia angalia usajiri wa Simba msimu huu jinsi ulivyo; acha blah blah bwana.Goalkeeper wa Prison inawezekana kabisa , Prison ilikuwa na ukuta imara sana, ila foward ilikuwa butu, atakuwa alifungwa goli chache, Simba na Yanga hazitengenezi chipukizi wote wametoka timu zisizodhaniwa