Habari ya uongo moods ifute!
Taratibu za usajili wa TMS kutoka Fifa zinaelekeza mchezaji apate leseni ya kucheza ligi mara baada ya kujaza fomu za TMS kwenye mtandao wa fifa na kweka sahihi na dole na gumba, kisha fomu hiyo husainiwa na katibu mkuu wa timu na daktari wa timu, hubandikwa picha ya mchezaji kwa kila msimu!
Sasa Yondani anaenda kucheza simba kwa usajili upi? Tambua kuna tofauti kati ya Usajili na Mkataba,
Mkataba unabakia TFF tu na Fomu za usajili zinakwenda Fifa automatic kwa system, sasa atacheza simba kwa registration ipi?