kwa upande wangu nachokiona hapo ni kubytime then mwisho wa siku hawa jamaa watakuwa free,kulikuwa hakuna haja ya kulefusha keshi ambayo hataserikali inapoteza pesa nyingi kusimamia kesi isiyokuwa na mwisho,ingekuwa nchi za wenzetu kesi hiyo tayari majibu yangekuwa hewani lakini hapa ni mlolongo usio na mwisho na upotezaji wa pesa za walipa kodi kwa kuprolong kesi.
hebu angalia yule kija aliyekwapua nazi za Mh Makamu wa Raisi Zanzibar,kesi imesikilizwa ndani ya mda mfupi na kijana kupigwa ndani miaka miwili na viboko juu ili iwe fundisho kwa wezi wa nazi,lakini hili la hawa jamaa ni miaka kenda rudi mwishowe itakuwa wamekutwa hawana hatia