Bandika Bandua
Member
- Oct 14, 2011
- 28
- 5
Karibu dogoJi feel home upoMwaga umwagiwe hapo hapoDogo una akili za kipopoAu unagawa line za simu tigoUsilete Utoto Kama madogoHumu ndani kuna watu wa kila kitivoUkileta bangi zako utazibwa tundu lako
Hili tusi limwendee invisible kwani natumia iPad 2 3G na nmeweka space Kama kawaida ila wakati nimepost ndio imekuwa hivikubwa zima halijui kuandka kwa kuacha space..ovyoo ptuu
Masaburi(akili) unazo nyingi?
Hili tusi limwendee invisible kwani natumia iPad 2 3G na nmeweka space Kama kawaida ila wakati nimepost ndio imekuwa hivi
Swari lakini kijana?
We ni dogo mtu mwenye heshima zake hawezi kuingia JF kwa style ya kishamba Kama hii... Na wewe sio mgeni humu JF !... Tutajua I'd yako ya zamani tuumejtahd kujtetea...afu acha dharau me co dogo..
Masaburi(akili)hahahaaaa...mkuu rudia kuandika tena.masaburi anayo au akili nyingi?
Karibu dogo,Ji feel home upo,Mwaga umwagiwe hapo hapo hapo,Dogo una akili za kipopo,Au unagawa line za simu tigo,Usilete Utoto Kama madogo,Humu ndani kuna watu wa kila kitivo,Ukileta bangi zako utazibwa tundu lakoKaribu sana teh teh teh
yo yo yo yo...
Me ndo bandika bandua...
Nakufunka ksha nakufunua..
Ukleta ujinga ujinga nakuzngua..
Nmekuja kuchat na uhakika nmefka...
Naomba mnpokee nyie ma great thinkerz..
Believe me......funda moja la mwisho tu.....unabakwa.
Kuna member humu anaitwa Yo yo, hivi sasa yupo kifungoni, vipi una uhusiano naye?yo yo yo yo...