C commm JF-Expert Member Sep 6, 2019 1,674 1,905 Apr 20, 2021 #1 Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa. Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa. Je, Ni kweli?
Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa. Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa. Je, Ni kweli?
Mzeembuz JF-Expert Member May 10, 2015 214 293 Apr 20, 2021 #2 Ngoja wajuz waje. Isije ikawa ni michezo ya kubahatisha mkuu
C commm JF-Expert Member Sep 6, 2019 1,674 1,905 Apr 20, 2021 Thread starter #3 Moderator rekebisheni hapo kwenye heading pasomeke "gameas" na sio "games"
C commm JF-Expert Member Sep 6, 2019 1,674 1,905 Apr 20, 2021 Thread starter #4 Mzeembuz said: Ngoja wajuz waje. Isije ikawa ni michezo ya kubahatisha mkuu Click to expand... Na mimi ndio nimeleta hapa mada ili kama kuna mtu anajua atuambie
Mzeembuz said: Ngoja wajuz waje. Isije ikawa ni michezo ya kubahatisha mkuu Click to expand... Na mimi ndio nimeleta hapa mada ili kama kuna mtu anajua atuambie
K Kimwakaleli JF-Expert Member Apr 16, 2018 3,897 5,354 Apr 20, 2021 #5 Ulisikia Wapi said: Moderator rekebisheni hapo kwenye heading pasomeke "gameas" na sio "games" Click to expand... mbona kaandika gameas!?
Ulisikia Wapi said: Moderator rekebisheni hapo kwenye heading pasomeke "gameas" na sio "games" Click to expand... mbona kaandika gameas!?
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,870 106,126 Apr 20, 2021 #6 Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ni fursa Ova
Am the One JF-Expert Member Nov 1, 2018 901 885 Apr 20, 2021 #7 mrangi said: Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ni fursa Ova Click to expand...
Top gun maverick JF-Expert Member Dec 10, 2017 2,020 2,601 Apr 20, 2021 #8 Ulisikia Wapi said: Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa. Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa. Je? Ni kweli. Click to expand... Zipo nyingi kuna spin to win,keno hizi ni games za kubahatisha ila kula kidogo na kuliwa sana akili nyingi tamaa kidogo.
Ulisikia Wapi said: Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa. Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa. Je? Ni kweli. Click to expand... Zipo nyingi kuna spin to win,keno hizi ni games za kubahatisha ila kula kidogo na kuliwa sana akili nyingi tamaa kidogo.
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Sep 4, 2013 36,066 40,725 Apr 24, 2021 #10 Itakuwa kundi la Qnet hilo, pyramid/Ponzi scheme, Deci