Yeyote mwenye kujua kiundani kuhusu hii kitu inaitwa "gameas"

commm

JF-Expert Member
Sep 6, 2019
1,674
1,903
Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa.

Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa.

Je, Ni kweli?
 
Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa.

Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa.

Je? Ni kweli.
Zipo nyingi kuna spin to win,keno hizi ni games za kubahatisha ila kula kidogo na kuliwa sana akili nyingi tamaa kidogo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom