Na mimi ndio nimeleta hapa mada ili kama kuna mtu anajua atuambieNgoja wajuz waje. Isije ikawa ni michezo ya kubahatisha mkuu
mbona kaandika gameas!?Moderator rekebisheni hapo kwenye heading pasomeke "gameas" na sio "games"
Ukiitwa kwenye fursa ujue wewe ni fursa
Ova
Zipo nyingi kuna spin to win,keno hizi ni games za kubahatisha ila kula kidogo na kuliwa sana akili nyingi tamaa kidogo.Wakuu kama kuna member huku anajua vizuri hiyo kitu inayoiwa "gameas" atoe maelekezo hapa.
Maana kuna wadau wanasema eti hiyo fursa.
Je? Ni kweli.