JAPO MIMI SIYO MKRISTO ILA DINI YA KWELI NI UKRISTO (YAANI INJILI) NA YESU NI MUNGU NAFSI PEKEE YA MUNGU SIYO NAFSI YA PILI WALA YA 3 ...PIA ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA WACHAMUNGU ...Siyasemi haya kishabiki bali KIAKILI ...ni mpumbavu anaye shindwa kumtambua Yesu ni nani.Kamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6
Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani."
Ukisoma Yohana 1:1 pia utaona kuwa Yesu ni Mungu!! Mstari huu unaosema hivi, "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tafadhali, naomba nisaidie kuwaambia wawili, watatu kuwa;
YESU ni MUNGU !!!
Barikiwa.
JAPO MIMI SIYO MKRISTO ILA DINI YA KWELI NI UKRISTO (YAANI INJILI) NA YESU NI MUNGU NAFSI PEKEE YA MUNGU SIYO NAFSI YA PILI WALA YA 3 ...PIA ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA MWACHAMUNGU ...Siyasemi haya kishabiki bali KIAKILI ...ni mpumbavu anaye shindwa kumtambua Yesu ni nani.
Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana.
MATHAYO 16:15-17
15 Kisha Yesu akawauliza, “Na ninyi mnasema mimi ni nani?”
16 Simoni Petro akajibu, “Wewe ni Masihi, Mwana wa Mungu aliye hai.”
17 Yesu akajibu, “Umebarikiwa, Simoni mwana wa Yona. Hakuna aliyekufundisha hilo ila Baba yangu wa mbinguni ndiye amekuonesha mimi ni nani.
Kama Yesu mwenyewe kwa kinywa chake alikubaliana na Simoni na akamwambia umebarikiwa kwa kukiri kuwa Yesu ni mwana wa Mungu wewe fara mmoja ni nani upingane naye?
SOMO: Wote wanaoamini Yesu sio Mungu wamebarikiwa kama Simoni
NENO UFUNGUO WA UFALME WA MBINGUNI JAPO LINAONEKANA KANA KWAMBA ANA AMBIWA PETRO TU SIYO KWAMBA ALIKUWA ANA AMBIWA YEYE TU UKITUMIA AKILI UTAJUA UFUNGUA NI NINI ?Tumalizie mstari wa 18 na 19.
Nao unasema
18"Nami nakuambia, wewe ni Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu ambalo hata nguvu za kuzimu haziwezi kulishinda. 19 Nitakupa funguo za Ufalme wa mbinguni na lo lo te utakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni na lo lote utakalofungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.”
Na Kanisa hilo limejengwa kwa kuamini MUNGU mmoja mwenye nafsi 3.
SawaKamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6
Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani."
Ukisoma Yohana 1:1 pia utaona kuwa Yesu ni Mungu!! Mstari huu unaosema hivi, "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tafadhali, naomba nisaidie kuwaambia wawili, watatu kuwa;
YESU ni MUNGU !!!
Barikiwa.
Niko Nawe mpaka kobazi wakuue Kwa maweKamata Biblia yako takatifu turejee utabiri wa nabii Isaya katika Isaya 9:6
Katika Isaya 9:6, neno la Mungu linasema; "Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto wa kiume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani."
Ukisoma Yohana 1:1 pia utaona kuwa Yesu ni Mungu!! Mstari huu unaosema hivi, "Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu."
Tafadhali, naomba nisaidie kuwaambia wawili, watatu kuwa;
YESU ni MUNGU !!!
Barikiwa.
Atheist ⚛️Mungu hayupo.
Yesu hayupo.
Achana na hadithi uchwara zisizo na kichwa wala miguu.
In fact kila binadamu ni atheist in nature.Atheist ⚛️
Atheist wabishi sana 😂😂In fact kila binadamu ni atheist in nature.
Atheist hana imani wala dini yoyote ile.
Kila binadamu alizaliwa atheist bila kuwa na imani wala dini yoyote ile.
Mpaka pale ulipo aminishwa na wazazi au walezi wako kuamini kwenye imani fulani.
Religion is a fictional identity.
You were indoctrinated to believe in religion.
Hakuna ubishi hapo.Atheist wabishi sana 😂😂
Ubarikiwe sana mkuu kwa mchango wako!JAPO MIMI SIYO MKRISTO ILA DINI YA KWELI NI UKRISTO (YAANI INJILI) NA YESU NI MUNGU NAFSI PEKEE YA MUNGU SIYO NAFSI YA PILI WALA YA 3 ...PIA ROHO MTAKATIFU NI NAFSI YA MUNGU NDANI YA WACHAMUNGU ...Siyasemi haya kishabiki bali KIAKILI ...ni mpumbavu anaye shindwa kumtambua Yesu ni nani.
Kwahiyo wewe ulitoka wapi ndugu?Mungu hayupo.
Yesu hayupo.
Achana na hadithi uchwara zisizo na kichwa wala miguu.
Nilizaliwa kutoka kwa wazazi wangu.Kwahiyo wewe ulitoka wapi ndugu?