Yesu na Wanafunzi wake

Yesu na Wanafunzi wake

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,915
Reaction score
30,027
[h=5]Siku moja Yesu alikuwa na wanafunzi wake nyikani, baada ya mafundisho marefu na jua kali wanafunzi wake walihisi njaa. Yesu alifahamu mawazo yao akasema,"Petro kalete jiwe", Petro alinyanyuka na baada ya muda alirudi akiwa na jiwe mkononi. Alipompa Yesu akalibariki likawa mkate, akawagawia wanafunzi wake wakala. Lakini hawakushiba hivyo wakaanza kumlaumu Petro,.."mbona umeleta jiwe dogo?", Petro akawajibu,"me nilijua mwalimu anataka kukalia!".

Siku nyingine tena wakiwa nyikani, baada ya mafundisho marefu na jua kali, wanafunzi walihisi njaa. Yesu alifahamu mawazo yao, akasema "Petro kalete jiwe". Basi walinyanyuka wanafunzi kama 6 hivi, wakaleta jiwe kubwa huku wakilibiringisha. Walipolifikisha Yesu alilikalia na kuanza kuwafundisha neno!![/h]
 
sasa unataka kutufundisha nini! au umeamua tu na ww kuweka post.
 
ulikofika pabaya. Ni bora kuitoa thread yako. Katika biblia yangu hakuna maandiko kama hayo na kuna onyo hairuhusiwi kubadilisha,kuongeza wala kupunguza maneno. VITABU VYA MUNGU HAVIDHIHAKIWI
 
hakuna pahala niliponyesha kama nimenakili kifungu fulan cha biblia,upo mkuu?watu tuna biblia zetu bana!
 
Hii ni dhihaka

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom