Yesu na petro

Yesu na petro

malezu

Member
Joined
Oct 26, 2013
Posts
73
Reaction score
19
Siku 1 YESU aliwaambia
+WANAFUNZI+
wake
"BEBENI MAWE"
sasa kwa uvivu wa
+PETRO+
akabeba kadogo basi baada ya njaa kuuma.,
YESU akageuza hayo Mawe kuwa
+MIKATE+
na kusema.,
Kila mmoja ale peke yake na asimpe mtu"
Basi
+PETRO+
hakushiba.,
Siku ya 2
+YESU+
aliamuru tena kama kawaida wabebe
+MAWE+
PETRO alibeba jiwe kubwa akajua hili likigeuzwa kuwa Mkate nitakula siku 2.,
Baada ya kutembea mwendo mrefu YESU akasema sasa rusheni hayo
+MAWE+
kila atakae rusha mbali hayo ndio
+MAISHA+
yake.,
PETRO alirusha kidogo na ndio
+NABII+
wa kwanza
+KUFA+
Je.,.?!! wewe unajifunza nini.,.?!!
Nktkia siku njma
 
Back
Top Bottom