tamimusalim
JF-Expert Member
- Jun 17, 2014
- 1,822
- 501
Yesu ni Mungu
Raia mmoja kutoka zimbabwe , anaejulikana kama yesu wa zimbabwe amefariki dunia leo baada ya kutaka kufunga siku 40 bila kula wala kunywa kuvunja rekodi ya yesu wa kweli alieishi duniani miaka 2000 iliopita inasemekana mtu uyo yesu feki" aliweza kufunga kwa siku 30 tu kabla ya kifo kumkuta.
Yesu ni Mungu