Yesu aonekana huko Uyole

Siku anakuja mnadhani mtapata muda wa kumpiga picha na kupost...........siku hiyo mtafurahi.........
 
yani siku hiyo ni kufumba na kumbua
 
Kwahiyo na nyinyi mnaamni kabisa kuwa Yesu/ Nabii Issa anafafana na hao jamaa?
 
Huyu ni mtalii na hii picha ilipigwa Malawi
 
aaa huyo mwigizaje alie igiza tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…