YES Tunahitaji Apartments Tanzania Lakini si kila Mkoa

Halafu swali la awali liko pale pale,
Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.

Duuh! Wewe kweli EMPTY MINDED Majibu yote na maelezo juu ya swali lako bado huelewi tu? Unataka nikutajia nchi specifically? Nimekwambia kwenye major cities zote watu wana-prefer apartments kutegemea na uwezo wa mtu na aina ya apartment, na kwa sababu nilizozieleza na sio suala la nchi moja! Ugonjwa wako wa 1+1=2 bado unaendelea nao?
 
Kwa kuongezea.
Soko kubwa LA watu wanaohitaji Nyumba za kupanga/apartments ni watu wenye kipato cha Kati.most ni university graduates na mid level employees.wengi Wa hawa watu income bracket YAO ni chini ya 2M net.taking 25% estimate for housing Tunaona kuwa asilimia kubwa wako radhi kutumia 500,000 kwenye Nyumba. Kwa mantiki hii NHC walitakiwa kujenga apartments za bei hiyo kushuka chini.kulazimisha watu wakae Nyumba za $2000 ni ulimbukeni kwa kuwa eti ulaya zipo.someone should tell them that our GDP is $20B while Europe is over $10Tr.that's enough explanation.

Mkuu Kimweri nimependa maelezo yako, lakini challenge kubwa kwa haya mashirika ya umma ni construction costs na mfumo mzima ulivyo jinsi vinayoathiri ku-set competitive price, be it rental or sale price!

Sheria inawahitaji kutumia Public Procurement Act, na mara nyingine unakuta mradi ni affordable homes au low cost housing (How low is Low and how affordable is affordable is questionable) lakini anapewa Consultant Class One, na unajua bei za Class I na Class 5 au 7 ni tofauti!

Wakati huo kuna private developers wao wanatumia vibao tu (refer majengo yanayoanguka jijini Dar) utakuta Architect, Main Contractor, Sub Contractor, Electrical Engineer, Mechanical Engineer, Poject Manager, Quantity Surveyor etc lakini in reality kuna fundi ujenzi mzoefu alimradi anaweza ku-interpret michoro, na hao wengine ni geresha tu! Kwa mashirika ya umma, hao wote lazima wawe procured na kulipwa professional fees!

Hivyo ukiangalia mashirika ya umma, gharama ni kubwa na hivyo kuathiri sale/rental price maana kama investment lazima uangalie rate of return pia
 
Bado nasubiri specific marketing ya real estate, mbona hili umelikimbia "mwalimu" wangu? Au ndo ualimu wa voda fasta?
 
Pole sana! Nikuulize wewe maana ya Gated community?

Nimekueleza hapo juu tofauti ya apartments kwamba zina level tofauti tofauti, sasa unasema gated community na apartments ni tofauti! Kwani gated community ni nini na apartments ni nini? How is the word "gated" derived? By the way, Doesn't people live in apartments form a community?

Mipe definition ya gated community unavyoifahamu wewe na exposure yako

Unadhirisha jinsi ulivyo na short memory.

Hii sio mara ya kwanza unatumia neno gated community kumaanisha apartments!

Wewe kweli uko kwenye real estate industry? Mbona hujui kitu kabisa!!! Ndio maana nchi yetu haiendelei, mtu anasoma chuo kimagumashi, anafanya kazi kimagumashi halafu anajiita expert!!!

Apartment na gated community ni vitu viwili tofauti kabisa dogo. Ukisema gated community kumaanisha apartments utachekwa na watu wanaojua maana yake.

Au ngoja nikuulize kirahisi, pale Shekilango magorofa/apartments za NHC unaweza kupaita gated community?

Yaani wewe unachukua direct translation ya maneno unadhani ndio inachomaanisha. Siku ukisikia neno "window dressing" utadhani maana yake kuvaa nguo kwenye dirisha!!! hahahahahahahahahahahahahaha kijana bado una mambo mengi sana unayohitaji kufundishwa!!!

Usisahau kuwa swali lako la awali bado linakungoja. Hili sikuachi mpaka ulijibu, umeshakimbia maswali mengi mno.

Taja nchi ambayo watu wake wanaprefer apartments to detartched homes.

Ukishindwa kujibu hili hujaqualify kujiita expertbroker nitawaomba MODs wabadilishe jina lako liwe KanjanjaBroker.
 
Mkuu Kimweri nimependa maelezo yako, lakini challenge kubwa kwa haya mashirika ya umma ni construction costs na mfumo mzima ulivyo jinsi vinayoathiri ku-set competitive price, be it rental or sale price!

Sheria inawahitaji kutumia Public Procurement Act, na mara nyingine unakuta mradi ni affordable homes au low cost housing (How low is Low and how affordable is affordable is questionable) lakini anapewa Consultant Class One, na unajua bei za Class I na Class 5 au 7 ni tofauti!

Wakati huo kuna private developers wao wanatumia vibao tu (refer majengo yanayoanguka jijini Dar) utakuta Architect, Main Contractor, Sub Contractor, Electrical Engineer, Mechanical Engineer, Poject Manager, Quantity Surveyor etc lakini in reality kuna fundi ujenzi mzoefu alimradi anaweza ku-interpret michoro, na hao wengine ni geresha tu! Kwa mashirika ya umma, hao wote lazima wawe procured na kulipwa professional fees!

Hivyo ukiangalia mashirika ya umma, gharama ni kubwa na hivyo kuathiri sale/rental price maana kama investment lazima uangalie rate of return pia

Sio unapenda penda tu maelezo, umeelewa kilichoandikwa?

Explicitly kabisa maelezo ya Kimweri yanakueleza kuwa sio kama apartments hazihitajiki ila marketing strategy ndio inatakiwa kuwa meticulous. Au hujaelewa hilo?

Sasa ulichokipenda kwenye maelezo ya Kimweri ni nini? Hichohicho ndicho ulichokuwa unaambiwa na wadau wote tangu mwanzo na unasema wote hawakuelewi. Kila aliyeraise ishu hiyo ulisema hajakuelewa, sasa unasema maelezo ya Kimweri yamekufurahisha. Ni nini kipya kwenye maelezo ya Kimweri ukifananisha na mamabo waliyokwambia wachangiaji wa thread hii kuanzia mwanzo?
 
Bado nasubiri specific marketing ya real estate, mbona hili umelikimbia "mwalimu" wangu? Au ndo ualimu wa voda fasta?

Siwezi kukufundisha marketing ya real estate kabla hujajua vitu vidogo. Kama unadhani kuwa apartments ndio gated comunity huwezi kuelewa ninapokwambia targeted customers of gated community properties. Kwa sababu customer wa apartment na wa gated community property ni TOFAUTI kabisa.

Ndio maana nimekwambia lazima niwe na uhakika umeelewa basics kabla sijaanza kukufundisha vitu detailed. Ubishi wako unakuchelewesha kupata elimu.
 
Ndugu muanzisha thread ana vitu anavijua na ndg zangu wengine haswa ZeMarcopolo wana vitu wana vijua.Lakini sisi wengine tunaosoma tunaona kama mmeacha kutuelewesha ,mmeingia kwenye mapambano ambayo sidhani kama kuna anayenufaika kati yenu wala sisi.Tumieni lugha nzuri,heshimiananeni na sisi tukisoma tupatate hamu ya kuendelea kusoma-Tunajifunza.La kama si hivo labda mna vita ya kibiashara au jambo lingine.Mtu anayejua jambo kinyume na lisivyo anahitaji kueleweshwa na kumuelewesha mtu si lazima umdharau,wengine tunaowasoma mpaka tunaogopa kuchangia maana huenda mkatujibu kwa njia hiyo.Anayefikiri 1+2=3,mueleweshe kuwa si hivyo. Mueleze kuwa ni 5 mpaka aelewe.Akikueleza kuwa ni 3,basi peaneni mikono.God bless us.
 
Unadhirisha jinsi ulivyo na short memory.

Hii sio mara ya kwanza unatumia neno gated community kumaanisha apartments!

Ni wapi nimekwambia apartments ni sawa na gated community? Naona unatafuta pa kutokea?

Nimekupa maelezo ya kina kwamba kuna apartments za aina nyingi na wengi wanaishi kutegemea na kipato chao na nikakwambia kwamba kuna reason of security because of lock up and go environment nikimaanisha kwamba unaweza ukafunga apartment yako na ukasafiri maana ni ngumu kuwa identified na burglars kama ambavyo ingekuwa standalone, na nikaongezea pia kwamba kuna reason ya gated community pia! Sikutoa maelezo yote haya nikifikiri utanielewa!

Sasa naomba nikueleze kwa kina zaidi! Aina yoyote ya nyumba katika housing estate inaweza kuwa katika gated community, iwe villas, town houses, semi detached homes, apartments/flats, duplex etc! Naona kwa uelewa wako unafikiri gated community ni aina ya housing estate? Anyway kwa kukurahisshia ni kwamba gated community ni housing estate ambayo iko fenced with an entrance and an exit gate! Mbona neno GATED COMMUNITY liko straight forward?
 
Apartment na gated community ni vitu viwili tofauti kabisa dogo. Ukisema gated community kumaanisha apartments utachekwa na watu wanaojua maana yake.

Au ngoja nikuulize kirahisi, pale Shekilango magorofa/apartments za NHC unaweza kupaita gated community?

Wewe si ulisema unataka mifano at a global level? na ukataka kujua kama nimewahi ku-cross any boarder? Mbona hueleweki? mara mawazo yangu too local mara nchi gani duniani watu wanapenda kuishi kwenye apartments, what a kindagarten question? Majibu si nimekupa hapo juu tena kwa maelezo, au unaruka posts?

Sasa nimeishakupa maelezo ya GATED COMMUNITY, jijibu mwenyewe hilo swali lako la kama Ubungo NHC ni fenced or not?
 
I thought you intended to educate us on this field of housing, but I can see you are now heading to mipashoz. Please come back to the point

Apologies kibaizi kiki, the intention is to educate one another and get challenges where necessary, but unfortunately I am unintentionally forced to go beyond the intended subject matter!
 
Yaani wewe unachukua direct translation ya maneno unadhani ndio inachomaanisha. Siku ukisikia neno "window dressing" utadhani maana yake kuvaa nguo kwenye dirisha!!! hahahahahahahahahahahahahaha kijana bado una mambo mengi sana unayohitaji kufundishwa!!!

I thought I am communicating with a Great Thinker kumbe inabidi kila nikiandika nikutafunie kila kitu? Hii inadhihirisha uwezo wako wa kufikiri ulivyo DUNI hasa type ya maswali unayouliza, mfano;
1. Pale Shekilango NHC unaweza kupaita gated community?
2. Nchi gani watu wanaprefer apartments to detached homes?
3. ....Ongeza maswali yako mengine?

Intelligent Quotient ya mtu inapimwa pia na type ya maswali unayouliza? Omba ushauri wa mtu wa karibu yako kabla hujapost hayo maswali! Much as this subject is concerned, you questions are extremely cheap!! Unazidi kujivua nguo Mr. Multi-Talented! I wish you were Multi-Professional
 
Siwezi kukufundisha marketing ya real estate kabla hujajua vitu vidogo. Kama unadhani kuwa apartments ndio gated comunity huwezi kuelewa ninapokwambia targeted customers of gated community properties. Kwa sababu customer wa apartment na wa gated community property ni TOFAUTI kabisa.

Ndio maana nimekwambia lazima niwe na uhakika umeelewa basics kabla sijaanza kukufundisha vitu detailed. Ubishi wako unakuchelewesha kupata elimu.

Utumbo gani huu unaandika hapa jamani? What is a gated community? Dont you know apartments are subject of a gated community?

Dont you understand you can have a gated satellite city, and so a gated community with apartments, villas, town houses, shopping mall, hospital, school, play ground, hotel and all other amenities required in a modern city and still form a GATED COMMUNITY? What do you mean when you say...........customer wa apartment na wa gated community property ni TOFAUTI kabisa.?
 
Pole sana! Nikuulizewewe maana ya Gated community?

Nimekuelezahapo juu tofauti ya apartments kwamba zina level tofauti tofauti, sasa unasemagated community na apartments ni tofauti! Kwani gated community ni nini naapartments ni nini? How is the word "gated" derived? By the way,Doesn't people live in apartments form a community?

Mipedefinition ya gated community unavyoifahamu wewe na exposure yako[/QUOTE

Halafu dogo inaelekea communication skills ulipata F.
Ndio maana huelewi mambo yaliyoandikwa kwa hiyo lugha.

Yale yale ya kiingereza ulichosoma kwamba we only have people not peoples and we only have water not waters!

Sasa naomba unieleze hiyo communication skill yako na baada ya hapo ujibu hilo swali maana unajifanya mjanja sana kukimbia maswali! Uzuri wa jukwa hili hatuko peke yetu, wajumbe watapima maswali yangu na yako! Maswali mengi umeyakimbia, tukianza na haya mawili

1. Ulisema utaeleza specific marketing ya real estate ukala kona
2. Nimekuuliza watu wanaoishi kwenye apartment wana-form a community or not if apartment can not be gated community as per your argument? Najua hili litakuwa rahisi maana nimeishakupa DESA hapo juuu
 
By the way,how many international languages do you speak?

Another cheap question from a Great Thinker!!!

How international is an international language? And how does this relate to our topic on apartments? Please do not dare to find cheap means of skipping my questions!!!
 
Ndugu muanzisha thread ana vitu anavijua na ndg zangu wengine haswa ZeMarcopolo wana vitu wana vijua.Lakini sisi wengine tunaosoma tunaona kama mmeacha kutuelewesha ,mmeingia kwenye mapambano ambayo sidhani kama kuna anayenufaika kati yenu wala sisi.Tumieni lugha nzuri,heshimiananeni na sisi tukisoma tupatate hamu ya kuendelea kusoma-Tunajifunza.La kama si hivo labda mna vita ya kibiashara au jambo lingine.Mtu anayejua jambo kinyume na lisivyo anahitaji kueleweshwa na kumuelewesha mtu si lazima umdharau,wengine tunaowasoma mpaka tunaogopa kuchangia maana huenda mkatujibu kwa njia hiyo.Anayefikiri 1+2=3,mueleweshe kuwa si hivyo. Mueleze kuwa ni 5 mpaka aelewe.Akikueleza kuwa ni 3,basi peaneni mikono.God bless us.

Nimekupata mkuu TZX2012, nafikiri lugha za kejeli, matusi na dharau amezianzisha ZeMarcopolo, nikavumilia lakini nikaona anaendelea, japo nimekuwa nikimsihi tujikite kwenye mada halisi, lakini mara nyingi amekuwa akikimbia hoja na kufanya mipasho zaidi! Apologies for that, na mchango wako ni muhimu pia!
 
ZeMarcopolo,

Naona unachokifanya ni kuanza kupotosha! Hata hivyo nimekupa maelezo ya hoja zako zote hizi, kila moja!

Ungekuwa unatulia unasoma ninachokiandika kama ambavyo nasoma na kuzichambua posts zako tungeenda sawa na mjadala ungekuwa na manufaa hata kwa wengine, lakini kwa sababu una lengo unalolijua wewe, mjadala wetu unapoteza dira!

Mjadala utakuwa mzuri kama utajikita kwenye subject matter na ukapunguza U-MIPASHO ACADEMY, unaanza kuwaboa members!
 
Back
Top Bottom