Yes, am yours but Love is not possessive !!

Asante kwa ushauri, ni mchumba na mwanzoni kabla hatujaingia kwenye uchumba rasmi hakuwa na neno, na bahati nzuri nilikuwa muwazi toka mwanzo, Am very charming so nimejikuta nina marafiki wengi sana, mwanzo hakuonyesha kukereka. Lakini kuanzia siku aliyoleta posa nyumbani kwetu ndo balaa lilianza, hataki niwe na marafiki hata wa kike, anataka kucontrol ratiba zangu zote, yani amenibadilikia haswa.
Nimemuelewesha nimechoka, sasa nimebaki tu namuangalia.

^^
Kim nana
Kwa uzoefu wangu, ni kuwa anakupenda, ana wivu nawe, na kwa kutumia elimu fulani (ambayo sitaitaja hapa) ni kuwa kinachomtawala toka kwako ni mvuto mkali ulionao jambo ambalo linamfanya ahisi ataibiwa.. Ni jambo la muda tu pengine litaisha.
Have courage !!
^^
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana kwa ushauri Himidini. Ngoja niendelee kuvumilia.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom