Kiingereza chako cha title bora uandike kiswahili,
cc Nicas Mtei Mentor na watafutaji wengine wote

Ahhh kumbe, tatizo ni nini mkuu Barca? kiingeredha imekuwaje tena? Au 'am decided' hujaipenda? aah acha hizo ndugu.
anyway ebu tuache lugha ya malkia maana hata wenyewe kwa wenyewe, wa kasikazini na kusini 'hawaelewani' lugha yao ya kiingeredha kilivyo kigumu. Vp lakini ms imesomeka?............
karibu sana

ujipange nakusomesha usituzidishie wezi mtaani .chonde chondeNilikumichiii...
Hata mimi nimeamua kumfungia kazi mke wangu...ni mwendo wa kufyatua watoto kila mwaka.
kikristu kazi kweli.. mkuu..