Yeriko Nyerere Yu Wapi Leo?

kiben10

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
616
789
Hakuna asiejua ni nini kinaendelea huku Socioni, kupitia kwa social network kuanzia jana usiku majira wa saa mbili usiku hadi hivi leo ninapoandika ujumbe huu kuwa ari iyopo kwa baadhi ya watanzania tunaoitembelea mitando ya kijamii especially Twitter.
Ni ajabu sana kuona matukio makubwa kama haya huyu kijana sijaona hata post yake, ambapo hatujamzoe kama ilivyo ada yake mchangiaji mkubwa na mkosoaji mkubwa wa Mtukufu wetu na mtu mwenye power pia na mitandao.

Swali: Yeriko nyerere Why jambo hili sioni mchango wake? au nae Upepo wa Kisulisuli umemchukua?

 
Kwenye mitandao ya kijamii kuna nini kikubwa, samahani kwa swali hili. Kuna mengi ila hilo nyeti ni lipi hasawa ktk mengi yavumayo?
 
Labda ndio anatumia ile ID fake ya ........Mburahati2014!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…