Yeriko Nyerere Hili Lilikuwa Andiko Lako Mwaka 2015, Nini Msimamo Wako Leo?

TataMadiba

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
9,866
5,742
Ukimuacha Mh. Mbunge mmoja wa Dar es Salaam ndani ya chama, mnafiki mwingine wa chama hiki sijui ni kwa sababu ya njaa au nini ni wewe YERIKO NYERERE.Nini msimamo wako kuhusu Lowassa, Kingunge, Gwajima na wengine wa aina hiyo?
2017-04-29 11.32.35.png
 
Siku zote Mwanasokola Bora Hachezi Namba Moja Huwa anabadilika kulingana na upinzani anaokutana nao..

Kwa mfano kama wewe ni mshabiki wa mpira..Kuna Muda Christiano Ronado anacheza upande wa kushoto akiona beki wa huko anamkaba sana anahamia upande wa kulia akiona napo hapati magori huwa anahamia katikati na kuwa Center Foward..

The same aplies kwenye Siasa..
Hata Trump kwenye Kampeni alisemaga North Korea haiwahusu marekani ni kupoteza muda wa maendeleo,lakini sahvi ana shauku kubwa ya kuipiga North Korea Kuliko Rais Yeyote Yule Aliyewahi Kutokea USA..

Hivyo ndio siasa zinapaswa kuwa..

Kwahiyo kwa hilo Yericko Nyerere anaonesha yeye ni Mwanasiasa Haswaaa..
 
Mfano wako ni upi? Mchezaji au shabiki? Mfano wa mchezaji haufai. Kuhusu Shabiki ulichosema ni sahihi lakini kamwe usitegemee shabiki wa yanga akawa shabiki wa Simba au mimi shabiki wa Manchester United sitegemei hata tukishuka daraja kiwa shabiki wa Liverpool. Mbona Yeriko leo anabadili jinsi ya kushabikia? Isiwe tabu, nini msimamo wa Yeriko leo kuhusu Lowassa, Gwajima na Kingunge? Hawana matatizo?
 
Ukimuacha Mh. Mbunge mmoja wa Dar es Salaam ndani ya chama, mnafiki mwingine wa chama hiki sijui ni kwa sababu ya njaa au nini ni wewe YERIKO NYERERE.Nini msimamo wako kuhusu Lowassa, Kingunge, Gwajima na wengine wa aina hiyo?
View attachment 502521
Kama huijui siasa utabaki kuweweseka tu,

Ukimaliza kushangaa hapa rudi Lumumba kapitie hotuba zao za kampeni utaendelea kushangaa tu mpaka siku akili ikukae sawa ndipo utajua nini maana ya siasa na mwanasiasa.
 
Naona mkuu umeshindwa kujibu hoja umeishia kupiga porojo tu na kuweweseka. Hahahaa hakuna dhambi mbaya kama unafiki, huu ni zaidi ya ugonjwa. Mungu awarehemu
 
Njaa ndio inayolikwamisha taifa hili la tanzania maana watu wanatumika vibaya na mbaya zaidi nao awajierewi na wanajitetea kwa kusema siasa mchezo mchafu sasa kama chezo mchafu mbona unakubali kutumika .mchezo mchafu ni kumchukuwa Dada muhuza mwili na kudhini naye maana hata mungu wako ataki .YERICKO na wezako acheni kutumika vibaya mtasababisha vizazi vyenu kupata shida baadae baada ya nynyi mkishakuwa chini ya udongo mkionza
 
Ukimuacha Mh. Mbunge mmoja wa Dar es Salaam ndani ya chama, mnafiki mwingine wa chama hiki sijui ni kwa sababu ya njaa au nini ni wewe YERIKO NYERERE.Nini msimamo wako kuhusu Lowassa, Kingunge, Gwajima na wengine wa aina hiyo?
View attachment 502521
Sasa si ungemuuliza Privately
Hii tabia ya Mwana JF mmoja kumuanzishia uzi Mwana JF mwingine ni kama.tabia za Mtoto wa Kike anayevunja ungo
 
Kama huijui siasa utabaki kuweweseka tu,

Ukimaliza kushangaa hapa rudi Lumumba kapitie hotuba zao za kampeni utaendelea kushangaa tu mpaka siku akili ikukae sawa ndipo utajua nini maana ya siasa na mwanasiasa.
Huna aibu kabisa !!! Mjinga kabisa!! Kama ni hivyo ipelekwe hoja bungengeni vyama vifutwe kabisa
 
Mfano wako ni upi? Mchezaji au shabiki? Mfano wa mchezaji haufai. Kuhusu Shabiki ulichosema ni sahihi lakini kamwe usitegemee shabiki wa yanga akawa shabiki wa Simba au mimi shabiki wa Manchester United sitegemei hata tukishuka daraja kiwa shabiki wa Liverpool. Mbona Yeriko leo anabadili jinsi ya kushabikia? Isiwe tabu, nini msimamo wa Yeriko leo kuhusu Lowassa, Gwajima na Kingunge? Hawana matatizo?
Una safari ndefu kuilewa siasa!Umeenda mbali sana kwa kijana mdogo,subiri nikuletee mifano kama mitano ya JPM alichokisema na alichotenda au kusema baada ya muda kupita!
 
Mm ni adui wa CCM hata kama atasimama malaika mkuu. Lowassa angesimama CCM asingepata kura yangu, lakini kwa sababu nahitaji mabadiliko hata kama akiwekwa Faru John ntampa kura yangu akiwa nje ya CCM
 
Sikatai siasa ni ngumu kuielewa kweli... Lakini kwa hicho hapo juu ni unafiki wa asilimia 100 yaani bila kupepesa macho... Tusiruhusu mapenzi ya vyama kitufanya kuwa blind kiasi hicho
Una safari ndefu kuilewa siasa!Umeenda mbali sana kwa kijana mdogo,subiri nikuletee mifano kama mitano ya JPM alichokisema na alichotenda au kusema baada ya muda kupita!
 
Huu ndo tunauita ugreat thinker!!

Back
Top Bottom