Yepi Yanayomkuta Mkuchika

Yepi Yanayomkuta Mkuchika

Masikini uncle wangu Mkuchika anagaragara kama samaki kwenye mchanga!

Muhurumieni wazee hamuoni hata jina lake ni George Huruma Mkuchukia!
 
Idadi ya Wafuasi wa Chadema Mtwara ni sawa na Idadi ya wafuasi wa CUF Kibororoni au Machame!

Fanya utafiti kwanza kabla hujaongea, usiongee ili uwafurahishe wakubwa zako tu.
Nchi inaondoka hiyo mpaka Mbesa wameichoka ccm hayo makubwa
 
Kesho huyu mheshimiwa! atakuwa mjini newala..pale mahakama ya mwanzo! atarajie lolote lile kutoka kwa wananchi
 
Vipi zile sh. milioni 800 za kununua pampu za kusukumizia maji Newala, pampu ngapi zimewekwa na ngapi zinafanya kazi?
 
Vipi zile sh. milioni 800 za kununua pampu za kusukumizia maji Newala, pampu ngapi zimewekwa na ngapi zinafanya kazi?

Leo itabidi wananchi wamhoji...endapo ataruhusu maswali..
 
George Mkuchika tangu mapema mwezi wa 3 amekuwa akikosa watu kwenye mikutano yake huko Newala na kwa siku ya jana tarehe 14/03/2013 Mjini Masasi.

Kutokana na fedheha anayopata anasukumia lawama upinzani haswa Chadema na kufananisha vyama vya upinzani kuwa sawa na upele au jipu ambalo halipaswi kuwepo kwenye mwili.

Kitu ambacho viongozi wengi wa Chama tawala wamekuwa wakijaribu kukifanya ni kujaribu kupotosha jamii kuwa upinzani ni dudu baya sana la kuepukwa..

Wananchi wameamka sasa hata huku kusini ambako kulionekana kulala.

mbunge wa polisi na tume isiyo huru ya uchaguzi hilo hata yeye analitambua kuwa ubunge wake ni wakichina yeye na hawa ghasi
 
Back
Top Bottom