Yemenikuta Mwenzenu

Ila kwa kifupi haya mabo yapo siku nyingi isipokua namna yake imebadirika kidogo,in my past,kuna mtu aliwahi kunijeruhi kitapeli nikiwa mbali na Dar es salaam,na alini hook kiasi kwamba simu ya mkononi ndio iliyonirudisha Dsm, baada ya kuiuza na sijui ningerudi vipi toka Kigoma hadi DSM.By the way,mpaka sasa hivi sina rafiki permanent na sina mpango wa kumuamini mtu tena kwa lolote.Ila ni angalizo zuri cause ID za sasa waweza tengeneza popote kwa sababu hakuna full net work ya ID'S katika Tanganyika hii.Kwa hili pia kumzoea mtu haraka kwa siku hizi ni zaidi ya tatizo.Tujaribu kuwaiga wakenya hawana muda na mtu,hata salaam ni issue siku kwao si lazima siku hizi.
 
mimi wangu nimemtafuta kimyakimya hadi nimempata leo
 

sweetdada mbona kimya hujafanikiwa?
 
Last edited by a moderator:
Unaweza kukuta huyo tapeli yupo humu humu jf.Anyway,km mlienda wote mpk kwenye ATM kuna uwezekano mkubwa wa zile camera za pale zikawa zimechukua picha zake.Nadhani ukijumlisha na hiyo "plate number" ni sehemu nzuri ya kuanzia.Pole mdada,kutapeliwa hakuna 'mwenyewe'.
 
Sasa ulevi huu wa bila kunywa ni balaa. Pole sana sweetdada
 
Last edited by a moderator:
Sasa ulevi huu wa bila kunywa ni balaa. Pole sana sweetdada
 
Last edited by a moderator:
Umenena shaks001
 
Last edited by a moderator:
Shukuru mungu akukochoma na kitu chenye ncha kali kwa nyuma.
 
Teh teh jamani hii thread ya toka mwaka juzi mmeifukunyua wapi? We @P.Majaribu?
 
Huyo jamaa nimefanya udukuzi na kufanikiwa kupata majina yake anayotumia na namba zake za simu
 
Moja ni hii anajiita Chris Browon
0714 124 137
 
Aliingia anga za mtu wangu nikaamua kumdukuz
 
Nyingine ni hii 065 670 2416
Akitumia jina la Paul Shayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…