Yemen yazuia meli zote hakuna kupita Red Sea kuelekea Israel

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,951
Hii ndio habari iliyotangazwa hivi punde na Jeshi la Yemen. Kwa sasa hakuna meli yeyote itakayoweza kuruhusiwa kupita kuelekea Israel.

Itakumbukwa hapo mwanzo Jeshi la Yemen lililenga meli zinazomilikiwa na raia wa Israel tu ila kwa sasa agizo limekuja ni kwa meli zote haziruhusiwi kukatiza strait of Bab Al mandeb imekua closed mpaka itakapotangazwa vinginevyo.

Wayameni wanajua kuongea lugha inayoeleweka kwa Israeli na Marekani.

Screenshot_20231209_192024_X.jpg
 
Miaka migapi wamepigana vita mbili kwa pamoja, huku wanapigana na Saia na mabwana zaowa UsA, huku wanapigana vita ya ndani, ya wenyewe kwa wenyewe. Na zote wameshinda.

Hao ni wrong number kabisa.
Sasa madam watu hadi wanapigana wenyewe kwa wenyewe hizo nguvu zakupigana na taifa lingine watakuwa nazo kweli?

Hawa ni vichaa hakuna jina lingine tunaloweza kuwapatia
 
Hivi Hawa wakigeukiwa Wana survive masaa hata 8 kweli?
Mwambie America na Israel wasogee Yemen ndio utawafahumu, inaonyesha we bado huwafahamu wa Yemen karibu utawafahumu.

Israel hajasubutu hata kurudisha, America anasema wanafikiria kulipisha kisasi, Muingereza kimya hao wote wamepigwa na Yemen na wote kimya.

Yemen ni moto wa kuotea mbali hizo Meli za US ataziwacha hapo hapo akigusa Yemen.
 
Hii ndio habari iliyotangazwa hivi punde na Jeshi la Yemen. Kwa sasa hakuna meli yeyote itakayoweza kuruhusiwa kupita kuelekea Israel.

Itakumbukwa hapo mwanzo Jeshi la Yemen lililenga meli zinazomilikiwa na raia wa Israel tu ila kwa sasa agizo limekuja ni kwa meli zote haziruhusiwi kukatiza strait of Bab Al mandeb imekua closed mpaka itakapotangazwa vinginevyo.

Wayameni wanajua kuongea lugha inayoeleweka kwa Israeli na Marekani.

View attachment 2837745
Yaani kweli kipofu nikipifu... Yemen hawa jamaa wanaenda pia potezwa kwenye Ramani. Tulie mtaona remote ni Iran nadhani hajakoma na remote yake kule Gaza na kile kinatokea. Kiufupi Marekani na washirika wake wanajuwa kabisa Hamas wamepiga tukio kwa hisani ya Iran hakuna kificho. Na wanajuwa Urusi ipo nyuma ya Iran ila hawajajuwa jamaa wamejiandaa kwa muda mrefu kukabilia nao. Kiufupi Kuna kila dalili Iran ita anguka take my word vizuri. Iran ita anguka na hakuna atakaye amini it could be a costfully war but Iran lazima magharibi waiangushe kuiponya Israel. How and when keep cool and 🙈
 
Vita ya kuanzia Ukraine hadi gaza shingo ngumu Iran ndiye anajifanya anakimbele mbele cha kuwafadhiri huyu Yemen ni mfuata mkumbo, ngoja wawekwe mtu kati ili mtungo uwahusu.
 
Yaani kweli kipofu nikipifu... Yemen hawa jamaa wanaenda pia potezwa kwenye Ramani. Tulie mtaona remote ni Iran nadhani hajakoma na remote yake kule Gaza na kile kinatokea. Kiufupi Marekani na washirika wake wanajuwa kabisa Hamas wamepiga tukio kwa hisani ya Iran hakuna kificho. Na wanajuwa Urusi ipo nyuma ya Iran ila hawajajuwa jamaa wamejiandaa kwa muda mrefu kukabilia nao. Kiufupi Kuna kila dalili Iran ita anguka take my word vizuri. Iran ita anguka na hakuna atakaye amini it could be a costfully war but Iran lazima magharibi waiangushe kuiponya Israel. How and when keep cool and 🙈
Acha kuota mchana mkuu. Iran haiwezekani kwa sasa. Kwasasa kamanda wao anasema wapo kwenye kilele cha nguvu ya kuweza kufanya lolote hapa duniani.
 
Yaani kweli kipofu nikipifu... Yemen hawa jamaa wanaenda pia potezwa kwenye Ramani. Tulie mtaona remote ni Iran nadhani hajakoma na remote yake kule Gaza na kile kinatokea. Kiufupi Marekani na washirika wake wanajuwa kabisa Hamas wamepiga tukio kwa hisani ya Iran hakuna kificho. Na wanajuwa Urusi ipo nyuma ya Iran ila hawajajuwa jamaa wamejiandaa kwa muda mrefu kukabilia nao. Kiufupi Kuna kila dalili Iran ita anguka take my word vizuri. Iran ita anguka na hakuna atakaye amini it could be a costfully war but Iran lazima magharibi waiangushe kuiponya Israel. How and when keep cool and 🙈
Iran ianguke? Kwani Iran unadhani Tanzania au Zimbabwe?

Hayo tutasubiri tuone ina anguka ikiwa Gaza mmeishindwa leo miezi mitatu mpaa mnaleta askari wa mataifa mbali mbali na kuwalipa kwa week Euro 3900.

Poleni sana
 
Back
Top Bottom