Yawezekana mstaafu Dr Kikwete alikuwa sahihi kuasisi Semina Elekezi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,932
141,894
Kuna mambo tunayashuhudia leo ambayo kiuhakika kama wahusika wangepatiwa semina elekezi basi wasingedhurika.

Labda ndio maana watumishi wa Mahakama kila mwaka wanakuwa na Wiki ya sheria ambayo hupeana maelekezo.

Ingependeza kama mihimili mingine ingefuata utaratibu kama ule wa Mahakama ili kupunguza gharama za kutumbua majipu na kufanya chaguzi ndogo zisizo na mbele wala nyuma.

Niendelee kuwatakia Kwaresma yenye baraka

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom