Yawezekana Lowassa,Sumaye,Kingunge Wakarudi CCM..

mwanamichakato

JF-Expert Member
Mar 20, 2015
1,183
1,083
  1. Utatuzi wa kero zilizo Sababu za kuhama kwao...
  2. Utekelezwaji wa Dhana ya Maamuzi Magumu...
  3. Utendaji Madhubuti wa JPM,PM...
  4. Uwajibikaji wa Serikari kwa Wananchi
  5. Mapinduzi yajayo ndani ya CCM chini ya JPM
  6. Ukweli,Upendo,Utu, na Uwazi wa JPM
  7. Utekelezwaji wa mchakato wa Katiba Mpya
  8. Kutumbuliwa kwa waliodhani wana hati miriki ya CCM
  9. Umoja,upendo,Utu,Mshikamano ,Michakato ya Haki ndani ya CCM
  10. Rejeo la misingi ya haki,usawa,usimamiaji katiba na kanuni za CCM
 
sidhani kwamba muda huu unaweza kusema hayo yote yametekelezwa. bado sana, hii ni njia imeonyeshwa, safari ndio inaanza, tutajua mbele ya safari
 
  1. Utatuzi wa kero zilizo Sababu za kuhama kwao...
  2. Utekelezwaji wa Dhana ya Maamuzi Magumu...
  3. Utendaji Madhubuti wa JPM,PM...
  4. Uwajibikaji wa Serikari kwa Wananchi
  5. Mapinduzi yajayo ndani ya CCM chini ya JPM
  6. Ukweli,Upendo,Utu, na Uwazi wa JPM
  7. Utekelezwaji wa mchakato wa Katiba Mpya
  8. Kutumbuliwa kwa waliodhani wana hati miriki ya CCM
  9. Umoja,upendo,Utu,Mshikamano ,Michakato ya Haki ndani ya CCM
  10. Rejeo la misingi ya haki,usawa,usimamiaji katiba na kanuni za CCM

Nani anataka hayo Majizi na Mafisadi tena kwenye CCM yetu?
 
Mtoa uzi angetulia nakuandika kwa ufasaha tungemuelewa zaidi! anaonyesha atakuwa mwandishi mzr siku zijazo hasa akijikita ktk fani ya "UTABIRI WA MAMBO YA SIASA"
 
Mmm,h ni vigumu watu hao kurudi huko kwenye Nambari One,, ni sawa na kusema ,,Tanganyika,,Tanu na Azimio la Arusha vitarudi na kuhubiriwa tena hapa Tzania.
 
Tatizo walisema miaka 50 ccm haijafanya lolote. Ajabu walikuwa sehemu ya hiyo miaka 50.
Waendelee huko waliko huenda wakafamya lolote la maana.
Sidhani kama wapo tayari kula matapishi yao.
 
Uzuri wa Tanzania kila mtu ana uhuru wa kujiunga na chama cha siasa anachokitaka.
 
lets agree to disagree on your propounded opinion.. Ukichungulia kwa jicho la saba waweza kuona dalili za misingi ya Azamio la Arusha,Tanu na Uhuru wa Tanganyika vikirudi kupitia Tanzania mpya JPM..
 
Ni wakati wa Great thinkers tuwaelimishe jamii kupitia jukwaa hili kwa nini wazee wetu hawa waitwe mafisadi leo na walipokuwa ccm walikuwa viongozi wa kuaminiwa na kutumikia jamii kwa nafasi kubwa kama ya waziri mkuu?
 
  1. Utatuzi wa kero zilizo Sababu za kuhama kwao...
  2. Utekelezwaji wa Dhana ya Maamuzi Magumu...
  3. Utendaji Madhubuti wa JPM,PM...
  4. Uwajibikaji wa Serikari kwa Wananchi
  5. Mapinduzi yajayo ndani ya CCM chini ya JPM
  6. Ukweli,Upendo,Utu, na Uwazi wa JPM
  7. Utekelezwaji wa mchakato wa Katiba Mpya
  8. Kutumbuliwa kwa waliodhani wana hati miriki ya CCM
  9. Umoja,upendo,Utu,Mshikamano ,Michakato ya Haki ndani ya CCM
  10. Rejeo la misingi ya haki,usawa,usimamiaji katiba na kanuni za CCM

Ni mafisadi yameenda na yakatakaswa na watakasaji wanaweza kurudi hili yatumbuliwe
 
Wengi wetu ni sawa na wanafunzi wa shule za awali kuhusiana na ufahamu wetu wa mambo ya siasa....

Jiulize kwa ufahamu kamili ni Mh. Jaji Mkuu mstaafu A.Ramadhani,Mh.Pinda,Mh. Bilal,Mh. Sitta,Mh.Muhongo,Mh.Mwakyembe,Mh.Mahiga,Mh.Mwigulu,Mh.... n.k. n.k waliokatwa na kamati ya maadiri ya CCM hawakuwa na maadiri ya kukabidhiwa tiketi kuwakirisha chama ktk nafasi ya urais?
 
Kwa utabiri wangu ndo walikuwa wakituaga watanzania kwa kutuonyesha maajabu ya wanadamu kwa kutimiza ule usemi usemao heri kumfadhili mmbwa kuliko binadam.

Nawatakia kila la heri.
 
Nani anataka hayo Majizi na Mafisadi tena kwenye CCM yetu?

Kabla ya kumtamkia mwenzako mwizi hakikisha wewe upo safi. Nikuulize katika maisha yako na sio ajabu hata wiki hii haijakwisha. Je hujaiba iwe mahali pa kazi au sehemu yoyote. Naomba uchunge kauli yako hakuna aliyemsafi hata kama umeiba 50,000/- bado ni wizi.
 
Back
Top Bottom