Naanto Mushi
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 6,236
- 15,603
Tukiwa tunamalizia nusu ya kwanza ya kampeni, Lissu anazidi kujisafishia njia ya kuwa mgombea wa kwanza katika historia ya nchi yetu na penginepo kwenye ulimwengu wa siasa za kiushindani, kuweza kufanya kampeni pasipo kuwa hata na bango moja lenye sura yake.
Hii ni record ya aina yake, Lissu anazidi kutisha na anaendelea kuwa msumari mkali kwa CCM kadri sekunde zinavosonga.
Kupitia uchaguzi huu, Lissu ametupa somo kubwa sana ambalo litaathiri sina siasa za vipindi vijavo, MABANGO sio njia ya lazima ya kupiga kampeni.
Hakika nimeamini LISSU anaenda kuleta ukombozi kwenye taifa hili.
Aluta continua!!!!!
CCM kamwe huu mziki wa 2020 hamtauweza maana mnapambana na mbeba maono ambaye anazidi kuweka record kila uchwao.