Elections 2010 Yatakayomkuta Kikwete iwapo atataka kuingia Ikulu kwa gharama yoyote


kwanini hawaji sasa? maana madoktaz wanaofanya kazi Botswana nore that 30% ni watz. Why?
 
Tanzania Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Jamani maslahi ya taifa kwanza halafu haya ya familia ya Kikwete yafuate baadaye.
 

nh! what the guy saying?
 


Mpaka hapa naanza kuingiwa na wasiwasi kuwa dini ya mtu na upeo wa kuelewa wa mtu vinaendana trust me:llama:
 
AUTHORITY without LEGITIMACY ni kitu hatari sana, nashangaa Dr. Bana amesoma Political science lkn anashindwa kumshauri Kikwete kwa hili. Unapoongoza watu wasiokupenda kila wakati utapata upinzani kutoka kwao, lolote zuri kwako, litakuwa baya kwao. Kwa nini ulazimishe hili litokee??? Nachojua kikwete anaogopa aibu ya kushindwa na upinzani!! Naomba nimwambie, aibu ya kushindwa kwenye uchaguzi ni ndogo kuliko aibu atakayoipata atakapojiuzulu kabla ya wakati wake kutimia.
 
mkuu nakubaliana na wewe kwa 100%!kuna usemi unasema you can fool people but not always.tumeshachoka na uongozi wake mbaya tunataka mabadiliko this tme
 

"Politics is more difficult than physics."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…