Yatakayomkuta Kikwete iwapo atataka kuingia Ikulu kwa gharama yoyote | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yatakayomkuta Kikwete iwapo atataka kuingia Ikulu kwa gharama yoyote

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Masauni, Oct 10, 2010.

 1. M

  Masauni JF-Expert Member

  #1
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Inanisikitisha sana kuona kikwete anataka kuingia madarakani kwa gharama yoyote ile ili hali anajua kabisa wananchi wamemchoka.Kama akifanikiwa kuingia madarakani mambo yafuatayo yatampata.

  • Utawala wake utakuwa mgumu sana maana atawatawala watu wasiompenda.

  • Nchi itakuwa na migogoro ya hapa na pale kwa sababu watu hawakupendi.

  • Manunguniko ya watu, Mungu atayasikia na hivyo mwisho wako utakuwa mbaya sana.
  • Uchumi wa nchi utadidimia kwa sababu wataalamu wengi watakimbia nchi yao kwa sababu ya utawala wasioupenda,wananchi hawatakuwa na morale ya kazi.
  • Blessing and divine protection from God haitakuwepo katika nchi yetu, maana Mungu achangamani na uovu.
  Kukuthibitishia hayo ninayosema hii hapa ni baadhi ya vongozi waliotafuta uraisi kwa 'gharama yoyote'
  Mobutu seseko wailiyokuwa Zaire-mwisho wake na nchi yake ilivyokuwa kila mtu anafahamu
  Kamuzu Banda-Malawi
  Mugabe-Zimbabwe(mambo yameanza kuwa mazuri baada ya kukubali serikali ya mseto)
  Burkinafaso, Somalia.
  KIKWETE BELIEVE ME OR NOT SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU. UKITAKA KUZIMISHA SAUTI YA MUNGU, GOD WILL NOT LET YOU PREVEIL
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  To prove the curse, Taifa Stars lost in front of him against Morocco
   
 3. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #3
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana na wewe kwa namna fulani.Lakini ikiwa una matarajio ya mshindi kuwa Dkt Slaa basi hasira za Mungu zitashinda manung'uniko ya watu na nchi haitokalika na hakuna sera atakayotekeleza.
  Kati ya hawa wawili ni afadhali Kikwete na ikiwa ni muhimu aingie mtu mwengine Ikulu basi bora awe Lipumba.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe ni mdini kama avatar yako ilivyo
   
 5. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #5
  Oct 10, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  kwani Lipumba ni kiongozi wa Chadema? Sera za chadema zikiongozwa na shupavu ndio issue sio udini wako
   
 6. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #6
  Oct 10, 2010
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,401
  Likes Received: 434
  Trophy Points: 180
  KIKWETE BELIEVE ME OR NOT SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU. UKITAKA KUZIMISHA SAUTI YA MUNGU [na manunung'uniko ya watu,] GOD WILL NOT LET YOU PREVAIL - by MASAUNI

  great!!!!!!!!!!!!!
   
 7. Expedito Mduda

  Expedito Mduda JF-Expert Member

  #7
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Eeh, nyie watu udini ni nini? Chagueni tu kiongozi anayeahidi kuleta maendeleo kwa strategy mbadala jamani!!!
   
 8. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #8
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Jamani naomba nikuunge mkono Masauni. Katika hali ya kushangaza kabisa, nimeshaambiwa na watu kadhaa (wazee na baadhi ya wanamaombi) kwamba Kikwete akirudi madarakani hatamaliza miaka mitano Ikulu. Na nikiwauliza kwanini, huwa hawasemi zaidi ya kunambia "si upo? utaona!!" Hadi sasa sifahamu, hatamaliza miaka mitano kwa sababu gani? Atapinduliwa, atajiuzulu (kwa kupigiwa kura na bunge ya kutokuwa na imani naye) au ni nini, mimi sijui! Lakini kwa kuwa anataka arudi madarakani kwa nguvu zote, jeshi, majini, kuiba kura nk, basi tufanye kazi ya ziada ya kumwombea ili nchi isiishie pabaya.
   
 9. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #9
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sio yeye tu hata Mwalimu Nyerere alikuja kupendwa bada ya kung'atuka........

  Tayari ipo migogoro ya kutosha tu ingawa sio ya aina ambayo mnajaribu kuiwezesha....  • Sounds like dua la kuku.....

   Nijuavyo katika miaka ya karibuni kumwekuwa na muongezeko mkubwa wa wasomi kurudi nyumbani kuliko nyakati zilizopita

   Kama ameweza kuchangamana na ouvu wa Kenya, Sudan, Uganda na kwengineko sidhani kama atatuacha mradi tu mmeshindwa kufanikisha matamanio yenu. Actually ninadhani Mungu has soft spot na Tanzania yetu.........

  CCM inaweza kuwa na madhambi mengi tu lakini kujaribu kumfananisha Kikwete ama CCM na hao hapo juu ni kukejeli baraka/huruma za Mungu huyohuyo unayemtumia hapa kuhalalisha propaganda ama hisia zako.

  I thought ninyi ndio mnaopinga, kumlaani na kumtenga Kilaini kwa kutamka neno lenye mantiki hii ambalo lilithibitishwa na asilimia 80 ama 67 za kura 2005.


  In general, I have never come across a defeated plea such as this...

  Usikate tamaa kirahisi hivyo kaka bado uwezekano wa asilimia hata thelathini upo.....Keep on the fight
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  Ana gundu nod maana tumefungwa..hive zike dakika 90 alizokaa pale hazikutosha kwenye mdahalo kweli
   
 11. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #11
  Oct 10, 2010
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Usiambiwe,ukasikia, udini ulioko CHADEMA na anaoutaka Slaa ni mbaya kuliko nini!.
   
 12. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 10, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  (What did you say?)

  Lipumba if Not Kikwete. That sounds like Islam if not Islam.

  Dr. Slaa Forever.

  I'll never vote for Kikwete for his followers are preaching Islam!!!
   
 13. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #13
  Oct 10, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Hizo ni ishara anazoonyeshwa kwamba asing'ang'anie kwenda Ikulu hatima yake itakuwa mbaya!! " MTOTO AKILILIA WEMBE .............
   
 14. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #14
  Oct 10, 2010
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanachadema tulizeni mapepe ya huyu jamaa. Ofcourse kama sio wa upande wa pili anajaribu kuchezea akili za watu hapa...........
   
 15. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #15
  Oct 10, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yatakakapomkuta JK na kumshinda labda ataisalimisha nchi kwa RA -- kwani yeye (RA) ndiyo msukumo mkubwa kwa JK kufanya anavyofanya!!!
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  upo sahihi sana,yani jamaa anataka kuipeleka nchi kusiko

  sijui ni kwamba hatumbui tumechoka au analazimisha na kuziba masikio

  nadhani kuna haja ya kufanya mabadiliko octoba 31 kwa kupiga kura

  tafakari na uchukue hatua mwana jf, nchi inaliwa na wanaokula wanaliwa vilevile
  i mean ccm wanakula lakini wanaliwa


  • Nchi itakuwa na migogoro ya hapa na pale kwa sababu watu hawakupendi.  • Manunguniko ya watu, Mungu atayasikia na hivyo mwisho wako utakuwa mbaya sana.
  • Uchumi wa nchi utadidimia kwa sababu wataalamu wengi watakimbia nchi yao kwa sababu ya utawala wasioupenda,wananchi hawatakuwa na morale ya kazi.
  • Blessing and divine protection from God haitakuwepo katika nchi yetu, maana Mungu achangamani na uovu.

  Kukuthibitishia hayo ninayosema hii hapa ni baadhi ya vongozi waliotafuta uraisi kwa 'gharama yoyote'
  Mobutu seseko wailiyokuwa Zaire-mwisho wake na nchi yake ilivyokuwa kila mtu anafahamu
  Kamuzu Banda-Malawi
  Mugabe-Zimbabwe(mambo yameanza kuwa mazuri baada ya kukubali serikali ya mseto)
  Burkinafaso, Somalia.
  KIKWETE BELIEVE ME OR NOT SAUTI YA WATU NI SAUTI YA MUNGU. UKITAKA KUZIMISHA SAUTI YA MUNGU, GOD WILL NOT LET YOU PREVEIL[/QUOTE]
   
 17. P

  Percival Salama Senior Member

  #17
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Kichwa chako kina kutu ya fikra!!
   
 18. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #18
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,345
  Trophy Points: 280
  JK amekuwa akijigamba kwenye kampeni kuwa anataka tumkumbuke kwa mema atakayokuwa ametufanyia sidhani kumnyang'anya Dr. Slaa ushindi wa wazi wazi ni "mema" machoni pa Mwenyezi Mungu.

  CCM legitimacy to govern is now under serious threat despite JK and CCM aspirations!
   
 19. P

  Percival Salama Senior Member

  #19
  Oct 10, 2010
  Joined: Feb 3, 2010
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  Ukiweka akili kwenye udini uajivika pazia la tope kwenye fikra kiasi cha kuwa na upofu wa kudumu wa fikra. Hivi mpaka leo hujui kuwa sisiem inaendeshwa na matajiri? wadhani wanaosema elimu na afya bure ni sisiem? usiwe mwepesi wa kukumbuka, bali kuwa bingwa wa kufikiri. Nakusaidia hapa: ipo hivi shule na hospitali katika zama hizi na biashara yenye faida kubwa na si huduma (ingawa wenyewe watakwambia wanatoa huduma kwa jamii!!!), vigogo wengi wa sisiem ni wamiliki au wabia katika taasisi hizo.

  ili ziweze kuendelea ni lazima huduma ziwe duni katika sekta za umma. Slaa anataka kuleta huduma bora katika sekta hizo na hilo ni tishio kubwa kwa kafisadi na wamiliki wa biashara hizo. JE UNATAKA WASEME INAWEZEKANA WAPATE HASARA? Hii haihitaji elimu kubwa, ni suala la fikra kidogo tu unapata majibu. ASIYE KUBALI KUWA DKT SLAA NDIYE ATUFAAYE KUWA KIONGOZI WETU WA KAYA huyo ni dhahiri anafikiria kwa kutumia UNYAYO na si KICHWA!!
   
 20. QUALITY

  QUALITY JF-Expert Member

  #20
  Oct 10, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 854
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona haikiwa hivyo? mpaka sasa more than 40% ya madaktari wa Botswana ni watz. Why?/
   
Loading...