Hata kama nilikuwa bado nampenda na mimi ntampa kubwa vile vile.
Nitamwambia hata mimi sikutaki na nilishakuchoka siku nyingi ndio maana nilishatafuta replacement yako kitambo (hata kama siyo kweli). Na kwa taarifa tu leo nilikuja kukutaarifu kwamba mimi na wewe ndio basi in all level, na kukushauri u move on same as I did. Honestly, umenirahisishia saana cause nilikuwa nakuonea huruma kuwa na wewe, siyo kwamba nilikuwa nakupenda.
The rule is simple: Akikupa kubwa unampa kubwa zaidi.