Yataka moyo...

Mbu

JF-Expert Member
Jan 11, 2007
12,753
7,844
HOW TO END RELATIONSHIP

Don't text or leave a message on an answer machine

Don't end the relationship during a telephone conversation

Don't let someone else pass the message on

Don't suddenly cut off all contact without first giving an explanation

Don't become antagonistic in the hope that your partner will dump you

Don't start an affair

Don't be 'unavailable' if what you really need to do is end

Don't avoid conversations about the state of your relationship

Don't finish a relationship in a public place, unless you are unsafe

Don't end it just before your partner has a commitment

Don't tell other people of your intend to end before your partner knows

Don't expect an ending without anybody feeling hurt

Don't end in the middle of a row

Don't chickenout of ending, when you really know it is over

...ushauri mwanana huo kwa wale wanaotarajia kugawana mbao hivi karibuni. Bahati mbaya haya yanawahusu zaidi wale ambao wamo kwenye zile ndoa/mahusiano yanayoitwa; Too good to leave, too Bad to stay...!

Jana kulikuwa na mada moto moto hapa ikiwemo ile aliyoianzisha Mwanajamii One. Bahati mbaya, 'Tsunami' la kitekinolojia liliipitia Jamii Forums, mada zote zilizoanzishwa na zilizokuwa posted masaa 21 kabla ya tukio zimekwenda na maji (ikiwemo ya Mwj'1)

Tustahmiliane.
 
..."there is a reason for everything except love" haijakupitia bado? :D

Hiyo ya kuachwa kwa kuandikiwa text ni mbaya sana hahahaah!...kuna this basketball plaer alimtumia fiance yake text msg ana call off wedding na kwamba he is not ready hapo harusi kesho....
 
...kuna wakati Don't hii iliniliwaza sana; :D

"Don't cry because it's over, smile because it happened."

lakini kama una roho nyepesi, jiwekee hii akiba;

"Don't ever slam a door- you may want to go back."
 
Hiyo ya kuachwa kwa kuandikiwa text ni mbaya sana hahahaah!...kuna this basketball plaer alimtumia fiance yake text msg ana call off wedding na kwamba he is not ready hapo harusi kesho....

...kumuacha mtu kwa Txt message kunadhihirisha mtu asiyejiamini, ...a coward!... utamu ni uso kwa uso..."Sikutaki!"
 
...kumuacha mtu kwa Txt message kunadhihirisha mtu asiyejiamini, ...a coward!... utamu ni uso kwa uso..."Sikutaki!"

hahahaha hiyo ya uso kwa uso nomaa maana mtu anaogopa kuondoka na ngeu!....most women can't take it ile ya uso kw auso...kama ana silaha mkononi anaweza kukurushia...

I guess text ni new technology maana a lot of peeps waitumia these days....hii ni without prior thought....hujui hili wala lile unadhani mpenzi wako akkutumia text kusema i love you kumbe unakuatana na msg inasema "i am breaking up with you"....
 
Unamwacha eti kwa kuwa una kitu kipya chenye shingo ya upanga na miondoko kama ya Twiga! hukumbuki kabisa mlikotoka...lazima utiwe ngeu ati!
 
How are we supposed to end a relationship then?

Kelly nimekumiss
 
Hiyo ya kuachwa kwa kuandikiwa text ni mbaya sana hahahaah!...kuna this basketball plaer alimtumia fiance yake text msg ana call off wedding na kwamba he is not ready hapo harusi kesho....
huyu nae alitaka mtu akatili maisha yake ..kwanza unaweza kudhani ni utani
 
umekumbuka wapi nyamayao .. ?

Ukishatimiza umri wa 25 na kuendelea, ni lazima unakuwa umekutana na vibweka vingi sana katika tasnia ya mapenzi...mojawapo likiwa at least kuachwa au kuacha!,kupoteza mawasiliano na umpendae, ku`cheat etc, na vituko vingine viingi!Kwahiyo dada Nyamayao lazima atakuwa kayaona!Kuna mtaalamu mmoja wa mapenzi alitamka kwamba "Men rule the world, but women make it go round" Kweli wanawake wakitaka dunia ya mtu iende kombo wanaweza!
 
hahahaha hiyo ya uso kwa uso nomaa maana mtu anaogopa kuondoka na ngeu!....most women can't take it ile ya uso kw auso...kama ana silaha mkononi anaweza kukurushia...

I guess text ni new technology maana a lot of peeps waitumia these days....hii ni without prior thought....hujui hili wala lile unadhani mpenzi wako akkutumia text kusema i love you kumbe unakuatana na msg inasema "i am breaking up with you"....

...ndio maana nikasema wanaoitumia njia hiyo hawajiamini, kuna wengine wana beep tu kupima maji,... wakijibiwa "nimekubali, kila la kheri" hawachelewi kutuma text msg nyingine eti... " nilikuwa nakutania tu, kumbe hunipendi, au una mtu wewe?"
 
umenikumbusha mbaliii sana.

...ha ha, enhe.... ilikuwaje tena?

Haijanitokea, lakini kama mtu angenitumia sms ya break -up ningeuchuna, akiniuliza namwambia "sijapata sms yako!" akijichekesha namrudishia 'kombora kuliko alilonitumia!
 
Akuulize tena ya nn labda ka alikua anatania alie serious ukiuchuna ndo furaha yake yaani somo limeeleweka utangoja weee mpaka basi!
 
...ndio maana nikasema wanaoitumia njia hiyo hawajiamini, kuna wengine wana beep tu kupima maji,... wakijibiwa "nimekubali, kila la kheri" hawachelewi kutuma text msg nyingine eti... " nilikuwa nakutania tu, kumbe hunipendi, au una mtu wewe?"

hahahaha that is very true kuna watu wanapenda ku-test zali!.....jana nilikuwa na watch this show 90210...demu alimuita jamaa yake na kumwambia its not working out between us...jamaa alishikwa na mshtuko wa nguvu maana alijua anakwenda lunch na gf wake...kumbe demu alikuwa kamzimia jamaa mwingine na huyo jamaa ni rafiki na bwana yake.....akamwandikia jamaa msg kuwa i just broke up na jamaa yangu so i guess now i am alone..jemba ikamjibu ok lets hang out...kumbe njemba haina mpango wa ku-commit in relationship yeye anaharibu tuu wanawake mwanamke kaingia king....akamwambia jamaa ooh lets not show up maana sitaki kumuumiza my ex jamaa akamwambia unaongelea nini demu akajibu about us akamwambia what about us?...demu alichanganyikiwa maana kamuacha mwanaume anayempenda kwa moyo wote kaenda kujiingiza kwa player...anamrudia ex wake ku apologize kumbe ile njemba ilishamueleza ex kila kitu basi amekosa wote wawili....."mtaka vyote hukosa vyote"...
 
...ha ha, enhe.... ilikuwaje tena?

Haijanitokea, lakini kama mtu angenitumia sms ya break -up ningeuchuna, akiniuliza namwambia "sijapata sms yako!" akijichekesha namrudishia 'kombora kuliko alilonitumia!

na kama alikuwa anakupima ukirudisha kombora anaweza kufa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom