Yataka moyo

Hii hairuhusiwi kabisa, inarisk maisha ya wafanyakazi.
 
Duh haya ndo maisha...labda kama wamekatiwa Life Assurance!!!
 
Halafu cha kujiuliza wanaojengewa hiyo barabara walianza anzaje kuopt kuweka makazi huko.?
 
nakumbuka kipindi tanhouse inajengwa, si mchezo lile jukwaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…