Kwahio na simu ya babu haipigi haina vocha? [emoji15]
Baadhi ya wakati hujiuliza hivi ukiwa mkubwa kwanini unataka mdogo tu awe mwenye kukusalimia?[emoji15] Nikienda kuwasalimia jamaa zangu utawasikia mbona hunipigii cm? Sasa kama anataka kuongea na mimi kuna kitu gani kinacho mzuwia kunipigia?