Yas Fiber mtapoteza wateja sana

Yas Fiber mtapoteza wateja sana

def_xcode

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
2,552
Reaction score
6,816
Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero.
Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli.
Kuna muda mwanzo mwanzo ilisumbua nikawa nawapigia wanaahidi kuja hawaji, yani wakishakufungia basi shauri yako. Week nzima sina internet, katika kutafuta suluhu nikafanikiwa kusort tatizo mwenywe kwa kuondoa kifaa fulani kwenye router yao na kuunga waya direct kwenye router ikaacha kusumbua ikawa stable kabisa.
Sasa hii miezi miwili yani internet inasumbua. Unaweza kulipia mwezi mzima ukatumia internet siku 15, hakuna compensation ukiwapigia wao ni tunashughulikia suala lako. Hawaji wala nini. Ila ikikaribia kufika mwisho wa mwezi utashangaa kwenye email unatumiwa invoice ya mwezi ujao.
Niliawpenda Yas Fiber ila naona sasa ninyanyue mikono nitafute ustaarabu mwingine. Bora nitumie li wi-fi la airtel walau likiwepo tatizo linakuwa la wengi hadi watumiaji wa simu utatuzi unakuwa wa haraka.
 
Yaani Yas ni tatizo inasumbua acha hata upigaji wa simu na miamala ninununua luku kwa app yao we acha tu....Kampuni ukishashikwa na maponjoro ni tatizo
 
Yani huduma za kibongo huwa zinaanza vizuri ila baada ya muda basi customer care inakuwa zero.
Mimi ni mtumiaji wa Yas Fiber kwa zaidi ya miezi 8, na nilifungua ahdi thread humu naisifia kweli.
Kuna muda mwanzo mwanzo ilisumbua nikawa nawapigia wanaahidi kuja hawaji, yani wakishakufungia basi shauri yako. Week nzima sina internet, katika kutafuta suluhu nikafanikiwa kusort tatizo mwenywe kwa kuondoa kifaa fulani kwenye router yao na kuunga waya direct kwenye router ikaacha kusumbua ikawa stable kabisa.
Sasa hii miezi miwili yani internet inasumbua. Unaweza kulipia mwezi mzima ukatumia internet siku 15, hakuna compensation ukiwapigia wao ni tunashughulikia suala lako. Hawaji wala nini. Ila ikikaribia kufika mwisho wa mwezi utashangaa kwenye email unatumiwa invoice ya mwezi ujao.
Niliawpenda Yas Fiber ila naona sasa ninyanyue mikono nitafute ustaarabu mwingine. Bora nitumie li wi-fi la airtel walau likiwepo tatizo linakuwa la wengi hadi watumiaji wa simu utatuzi unakuwa wa haraka.
Jaribu Savanna Fiber mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom