E elizan Member Joined Jul 22, 2012 Posts 14 Reaction score 1 May 30, 2014 #1 Habari za kazi wadau, Natafuta yard ya kupaki magari acre moja. Maeneo kwanzia chang'ombe hadi tegeta. Natanguliza shukrani zangu.
Habari za kazi wadau, Natafuta yard ya kupaki magari acre moja. Maeneo kwanzia chang'ombe hadi tegeta. Natanguliza shukrani zangu.
A Akiri JF-Expert Member Joined Sep 21, 2010 Posts 1,445 Reaction score 216 May 30, 2014 #2 nzuri kiongozi, unatafuta kwa ajiri ya kununua au kupanga ? mi ninayo pale kurasini inauzwa
Mkatavimeo JF-Expert Member Joined Jan 3, 2011 Posts 2,150 Reaction score 875 May 30, 2014 #4 elizan said: Habari za kazi wadau, Natafuta yard ya kupaki magari acre moja. Maeneo kwanzia chang'ombe hadi tegeta. Natanguliza shukrani zangu. Click to expand... Mi ninayo tanki bovu na boko. Ni PM tujadili zaidi
elizan said: Habari za kazi wadau, Natafuta yard ya kupaki magari acre moja. Maeneo kwanzia chang'ombe hadi tegeta. Natanguliza shukrani zangu. Click to expand... Mi ninayo tanki bovu na boko. Ni PM tujadili zaidi
E elizan Member Joined Jul 22, 2012 Posts 14 Reaction score 1 May 30, 2014 Thread starter #5 Natafuta ya kupanga Mkuu.
E elizan Member Joined Jul 22, 2012 Posts 14 Reaction score 1 Jun 2, 2014 Thread starter #6 Nawapateje, no yangu 0753352559