Kwa dsn kupigwa hakuna mjanja... ila nakushauri nunua kwa yale makampuni ya viwanja then lipa kwa installment hii itakupa nafasi kujua kama kiwanja ni magumashi kabla hujatoa pesa ndefuNdo tunaanza maisha, nyumba za kupanga zinachosha, ila matapeli ni mishosho zaidi. Ili niwe salama, nini nizingatie kabla sijalipia kiwanja.. ? Msaada
Usinunue viwanja visivyopimwa.sio lazima ununue ndani ya mipaka ya jiji,unaweza ukatoka nje ya mji.
shukran mkuu, je wale ma afisa alsi pia wanaweza fanya utapeli ?1. Jiridhishe kuwa kiwanja anaekiuza ndie mmiliki
2. Siku ya mauziano uwe na mwanasheria akupe mkataba wa kisheria.
3. Piga picha ikiwezekana videos wakati mnapouziana.
4. Wajue majirani zako.
5. Shirikisha serikali ya mtaa.
Kama hakijapimwa weka beacon mapema mara tu baada ya kununua.
Hzo ndizo steps ambazo ht mm huwa nazifuata na hazijawahi niangusha
ahsante mkuu nimepitia, nimepata kadhaaPitia hapa labda unaweza kuokota mawili
Ni mambo gani ya kuzingatia unaponunua kiwanja au nyumba?
Habari zenu Great Thinkers Najua humu kuna wataalamu mbalimbali wa mambo ya ardhi, sheria n.k , na wengine ni wazoefu wa haya mambo hata kama hawapo kwenye sekta yoyote rasmi. Naomba kujua kwenu mambo ambayo mtu anatakiwa kuzingatia anaponunua nyumba, shamba au kiwanja kutoka kwa mtu mwingine...www.jamiiforums.com