Mimi nlmemaliza 2015 form 4 hapo Elimu ilkuwa imeanza chakachuliwa
Kwa mithn ya kidto Cha pili 2013 ilkuwa thabit kabsa ila baada ya hapo Elimu walianza kuichezesha tu mara GPA wakaon haifai wakarud Divisions akini Divisions znywe za kuwapa uzembe wanafunzi
Juzi nimeingia internet kutafuta paper la hesabu nililofanya form 4....sijui nilifauluje lile paper....sasa hivi ukinipa huo mtihani hata D sipati. Sielewi chochote.
Saa hvi sasa ndo kwisha kabsa unaambiwa hata Chemistry unachgua Topic za kufanyia mtihan yaan uisomi Chemia yote, English pia imevnjwa yaan madogo wanogelea Elimu hawasomi elimu