Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 901
- 1,936
Serikali ya China Chini ya XI Ilisemakuwa Itayasamehe MATAIFA Masikini na yaliyoelemewa na Madeni , haya yalisemwa huko Beijing China .
Lakini Serikali hiyo ya Ilisema Itatoa $B.60 Mikopo ( Mortgage) kwa Mataifa ya Africa, kwa ajili ya kuendesha Miradi mbali mbali ya Africa pasina kuingilia Masuala ya Kisiasa.
Shirika la Umeme la Zambia (ZESCO) Li mbioni kumilikiwa na China kufuatia Ongezeko ya Madeni, Taarifa zinasema tayari shirika la Utangazaji la Zambia (ZNBC) Lipo chini ya China.
Niwaonavyo Hawa Wachina Wanakuja kutufilisi hata kwa Vidogo tulivyokuwanavyo maana yake Tusipokuwa Makini Tutarudishwa kwenye Ukoloni wa Kale, mfano Hapo Kenya Tumeshuhudia Wakenya Wakibaguliwa Kihali, Kiakili na Kirangi
Je Mikopo Inaweza kuturudisha tulipotoka?!
Wataalam Uchumi Karibuni