Yapi mahusiano ya Adani Group na TICTS huko Bandarini?

Shamba la bibi, inaonesha huko juu wenye akili wote wameondolewa. Sijui TISS wanafanya nini? Si wamepewa ruhusa ya "kufanya jinai kwa uaminifu na uzalendo" hawa?? Inakuwaje nchi inachezwa chezewa tu?
Juzi baraza kuu usalama limeitwa kubembekezwa. Wakubali ibariki DP W...ukiona mama anakuja front ujue deal done nchi imeuzwaa
 
Kaa Chini ufikirie hivi Samia hadi Sasa anafanya nini?
 
Boss wenu kashabariki
 
Shamba la bibi, inaonesha huko juu wenye akili wote wameondolewa. Sijui TISS wanafanya nini? Si wamepewa ruhusa ya "kufanya jinai kwa uaminifu na uzalendo" hawa?? Inakuwaje nchi inachezwa chezewa tu?
Hao tiss ndio wametufikisha hapa. Ukishaona taasisi ya usalama viongozi wanajaza ndugu zao, huku hakuna vigezo vya wazi vya kuwapata watumishi wake, tegemeo majanga tu. Hao subiri siku watu wanaandamana ndio utajua kazi yao kwenye kulinda watawala.
 
Hao wapigaji ndiyo wanaleta fitna zote.

Wanalindwa na vigogo fulani kichini chini, vinavyompinga mama Samia.
Mama Samia kama Rais, tunamuombea mema. Wajanja walitumia mwanya wa ugeni wake kwenye madaraka makubwa, kutengeneza haya madudu. Na ndio maana nasema kikulacho ki nguoni.

Aangalie nani ni nani katika wale wanaomzunguka. Wengine wanaweza kuwa wanatengeneza kashfa hizi ili washushe confidence yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…