yani nimebarikiwa sana adi nashangaa imekuaje

yani nimebarikiwa sana adi nashangaa imekuaje

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
400960_4573001167650_1670991231_n.jpg 400960_4573001167650_1670991231_n.jpg


picha inajieleza
 
Mkuu Money stunna, aliyekwambia hizi ni baraka ni nani?

Mwenzio Yuda Eskariote alipewa vipande 30 tu lakini kesho yake akakutwa amejinyonga onyuma yo-mti

uyo yuda akuzipata kihalali,lakin kama umezipata kwa njia safi,unatumia vizuri tu kwa raha zako tu
 
Oneni wenyewe. hii mada ina mantiki kweli?


mkuu wewe ulitaka mada gani? unafanya kazi ili upate nini,nenda hoteli bila ela,kanisani pia wanaitaj ela,kuweka pesa apa uoni kutawainspire vijana kujitutumua,kuna mtu asiyependa ela? kama hauna we enjoy kutazama sababu bi bure ulipiiiiiii
 
Back
Top Bottom