willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,084
- 1,330
Yanga inapoteza umarufu wake kwa kuwa na tabia kama za ccm mwisho wa siku itafuria.yangaccm sasa inapinga azam kurusha matangazo ya mpira hivo wanataka watu wa vijijini waje dar kuangalia mpira wao wakinafki shame on you azamu wanataka kila mtanzania aone vpl afu nyie mnapinga kisa mnawashabiki wengi endeleeeni hapo wana jf

Kuna dhana mbili potofu sana kwenye hoja yako ambazo kama si kutaka zibaki kama fundisho juu ya namna mbaya ya kuwasilisha hoja, ningemwomba mratibu (moderator) aiondoe hoja yako mara moja. (1) Yanga haijapinga Azam kurusha matangazo ya mpira; imekataza mechi zake tu ndio zisionyeshwe. (2) Kwa hivyo Yanga haijataka watu wa vijijini waje Dar kuangalia VPL. Walichotaka ni Watanzania kutoona mechi za Yanga kupitia Azam Media TV (ambayo hadi sasa haipo). Huenda hilo unaloishutumia Yanga la kuwakosesha Watanzania kuiona VPL ndio litalotokea iwapo hiyo Azam Media TV haitakuwa tayari mwishoni mwa mwezi huu Ligi itapoanza.Yanga inapoteza umarufu wake kwa kuwa na tabia kama za ccm mwisho wa siku itafuria.yangaccm sasa inapinga azam kurusha matangazo ya mpira hivo wanataka watu wa vijijini waje dar kuangalia mpira wao wakinafki shame on you azamu wanataka kila mtanzania aone vpl afu nyie mnapinga kisa mnawashabiki wengi endeleeeni hapo wana jf