MTUNZA AMANI
Senior Member
- Jun 2, 2012
- 187
- 21
Hiyo ndio Young African,ebwana nipe majina ya wafungaji
Mkuu, umesahau 5-0 ?
Lakin mbona mechi na leopards,coastal union zimeota mbawa vipi..au lyon ndo alionekana mzur kuuzia sura?
Zile penati zilitokana na pressure ya mashambulizi. Penati haiwezi kutolewa katikati ya uwanja, lazima iwe kwenye 18 ya waliofanya faulo. Sasa Okwi anamlamba kipa chenga, baada ya hapo lango linakuwa wazi, kama hawezi kufunga kwa nini kipa wa Yanga anamdaka mguu kumzuia? Kama mshambuliaji hana madhara yoyote, kwa nini umfanyie faulo, au ndio ujinga wa mabeki na golikipa wa Yanga? Tukiongea uhalisi wa mchezo, haikutakiwa penati tatu pekee, bali pia na kadi nyekundu kwa Nsajigwa na golikipa, ila refa aliona 5-0 ni nyingi mno, zingefika 7-0 kama angeitendea haki Simbapenart3 goal2 rekodi ya dunia
penart3 goal2 rekodi ya dunia