Huyo kocha pia ni shabiki mkubwa wa simba hilo halina ubishi.
He, Wapumzishe wapumue kidogo.Kila wanapoenda mnao....!!Aisee!. Uchebe na Mwambusi.
Naona wanahamu na vipigo vya goli tano.
Huyo uchebe atadumu kwa wiki moja tu maana ana kadi ya Simba.
Mkuu nashida kidogo aisehHuyo kocha pia ni shabiki mkubwa wa simba hilo halina ubishi.
Utelembwe wengi wana mtindio wa ubongoMkuu una uhakika kocha wa girmahia n Patrick aussems?
Naona uanadanya watu kupitia mtandao wa goal.com kuhalalisha uwongo wako
Hebu fuatilia vizur habar yako Patrick n kocha wa fc leopard na s gormahia
Usiwamezeshe sumu wenye mtandao wa goal.com ukiambiwa ulete ushahid utaanza kulia Lia
Una mikelele, unaonekana una maisha ya stress sana.Mkuu una uhakika kocha wa girmahia n Patrick aussems?
Naona uanadanya watu kupitia mtandao wa goal.com kuhalalisha uwongo wako
Hebu fuatilia vizur habar yako Patrick n kocha wa fc leopard na s gormahia
Usiwamezeshe sumu wenye mtandao wa goal.com ukiambiwa ulete ushahid utaanza kulia Lia
Karibu mkuu.Mkuu nashida kidogo aiseh
Ndivyo alivyokwambiaHuyo kocha pia ni shabiki mkubwa wa simba hilo halina ubishi.
Ni mtu ambaye bado anaifatilia Simba.
Ulinzi wa nn we mkia?Ndio maana Simba tunaomba tupewe ulinzi, mna hasira, karibia mtaanza kutembea na marungu barabarani.
Sidhani kama wamemchoka tatizo ni blackSasa Uto wanataka kurudia matapishi ya mnyama.
Kama mko serious mchukueni pitso maana waarabu wamesha mchoka.
Nimekucheck pm mkuuKaribu mkuu.
Kwa mujibu wa mtandao wa Goal.com klabu ya Yanga imewasiliana na timu ya AFC Leopards ya Kenya kuangalia uwezekano wa kumchukua kocha Patrick Aussems aliewahi kuifundisha Simba SC.
Hata hivyo klabu ya Kenya imegoma kuikubalia Yanga kumchukua kocha wao mwenye mkataba wa miezi sita, taarifa zinaeleza zaidi Yanga wameahidi kurejea tena AFC Leopards na ofa kubwa zaidi ili kumpata kocha huyo.