MKALIKENYA
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,196
- 486
Haya ni mafanikio ya utawala mahiri wa JK. Marais wote waliopita walishindwa kuipatia klabu pendwa kiwanja. Bravo JK!
cc FF
Kila kitu kizuri nchi hii ni kwa sababu ya JK! Kibaya ni kwa sababu ya Slaa et al.Hapo JK amewapaje yanga kiwanja? Hili lilikuwa suala la kufuata taratibu husika sasa apo ni kazi ya uongozi kuanza taratibu za ujenzi
Kimsingi, Mkuu wa Mkoa amemuongezea kiwanja mzee Juma Mwambelo. Ikumbukwe kwamba mzee huyo ndio mmiliki halali wa Yanga na ndiye mwenye hati ya jengo la Yanga na eneo lote la kiwanja cha Kaunda pamoja na jengo lililopo mtaa wa Mafia!
Nikiokota hati yako ya kuzaliwa na kubaki nayo, mimi nitakuwa ndiye wewe?Kimsingi, Mkuu wa Mkoa amemuongezea kiwanja mzee Juma Mwambelo. Ikumbukwe kwamba mzee huyo ndio mmiliki halali wa Yanga na ndiye mwenye hati ya jengo la Yanga na eneo lote la kiwanja cha Kaunda pamoja na jengo lililopo mtaa wa Mafia!
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mecky Sadick jana akiongea na TBC amesema wameishakubali ombi la Yanga na mkurugenzi wa manispaa ya ilala yupo katika hatua za mwisho za kuwaandikia barua club ya Yanga kuwakubalia ombi lao la kuongezwa kiwanja.
Mkuu huyo wa mkoa alisema Yanga wanachotakiwa kufanya ni kufata masharti ya NEMC kwa kujenga uwanja wao kufuatana na ramani waliowasilisha inayoonesha kujali hali ya mazingira na pia wametakiwa wao wenyewe wachukue hatua ya kuwaondoa waliovamia eneo lao na kujenga sababu imegundulika hawana hati za kumiliki viwanja hivyo.
MY TAKE
Huu ni uamuzi mzuri kwa maendeleo ya soka letu na ustawi wa jiji la dar es salaam, kuliko lile eneo kubaki kuwa mazalia ya mbu na sehemu ya mafuriko ni bora liendelezwe kisasa na nchi ipate uwanja mwingine wa kisasa ambao utatuwezesha hapo baadae kupata nafasi ya kuandaa mashindano makubwa kama AFCON na baadae ata World Cup.
hapa naona sio sahihi.Uwanja ukijengwa pale je utakuwepo na parking za kutosha ni kwa nini serikali haioni mbali kwa kutoa kibali huo uwanja ukajengwa mbali na mji kama vile kule kiluvya au mbweni ili mji uweze kupanuka na pia kuongeza kazi ya ukuaji wa jiji na kupunguza foleni hapa mjini kuliko kuweka huduma zote sehemu moja kama walivyofanya kwa uwanja wa zamani wa taifa hapo hapo wamejenga uwanja mwingine mpya vitu kama hivi ndo vinasababisha mtu akitoka kimara au mbezi kufika posta anachukua masaa matatu ambayo ni sawa na mtu ametoka moro hadi dar anatumia the same hours for 189 kilometa while wa bunju au kimara wa kilometa 23 anatumia masaa hayo kufika town.
Ukiomba kuongezewa kiwanja kwa kutumia hati yangu, kiwanja kitakuwa mali yako?Nikiokota hati yako ya kuzaliwa na kubaki nayo, mimi nitakuwa ndiye wewe?
Ntakujibu utaponijibu.Ukiomba kuongezewa kiwanja kwa kutumia hati yangu, kiwanja kitakuwa mali yako?