Yanga yajitoa Kagame

Yanga yajitoa Kagame

Kwa yanga hata sishangai si mara ya kwanza kukimbia mashindano.
Ligi yenyewe ina mechi 14 halafu yanatokea mashindano unakataa kushiriki mambo ya ajabu sana
 
kwani huyu BIN ZUBEIRY si walimfungia kuandika habari za yanga?? bado anaendelea tuu!!??...Hizi habari kama hazina ukweli,YANGA wamshitaki huyu jamaa.
 
Back
Top Bottom