Yanga yajitoa Kagame

kovai tamil taiga

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
1,571
Reaction score
2,192
Sababu ya kujitoa huko ni kutopata mwaliko wa kushiriki..! Bila shaka hii ni sababu nyepesi! nyepesi sana kutoka kwa uongozi ambayo inaacha maswali mengi kwa wadau wa soka! Mawazo yamegota!Viongozi hawazioni fursa zinazoizunguka Yanga..! Hawaoni njia mbadala ya kuinusuru Yanga ishiriki!Jamani viongozi hawa wanahitaji kusaidiwa..!






Chanzo: Ukurasa wa Yanga wa Facebook
 

Attachments

  • yanga.JPG
    231.9 KB · Views: 1,022
Sio lazima yanga washiriki

Kinachoshaza hapa ni hiyo sababu ya kujitoa kwamba hawajaalikwa! Hii sio michuano mipya.Na inaeleweka Bingwa ndie anayepata nafasi ya kushiriki.Leo hii kuja na sababu hatujaalikwa ndicho kinachoshangaza wadau wa Soka!
 
Hivi Yanga ilimkosea nini huyu Bint Zubeiry?...

Kwa nini kila wakati yeye anakuwa na habari hasi dhidi ya Yanga?....

[h=5]Young Africans Sports Club[/h]13 hours ago · Edited


YANGA HAIJAJITOA KAGAME:

Klabu ya Young Africans haijajitoa kushiriki mashindano ya Kombe la Kagame chini Rwanda kama inavyoripotiwa na baadhi ya mitandao ya habari nchini na kusema taarifa hizo ni za uongo.

Katibu mkuu wa Yanga SC Bw Beno Njovu amesema taarifa hizo zilizosambazwa ni za uongo na kuwa kwa siku ya leo hajaongea na mwandishi wa habari yoyote juu ya michuano hiyo.

Sie hatujatangaza kutoshiriki michuano ya Kagame, kama tulivyosema awali kikubwa tunasubiri taarifa rasmi za kushiriki kutoka CECAFA zitufikie ofisini nasi tupange mikakati yetu "amesema Beno".

 
hawa wa wazee wa media wanaogopa aibu uwezo wao mdogo
 
Huyu kanjanja sijui kwa nini watu wanaendelea kuamini habari aandikazo
 
Kikwete kaikataza timu yake,isishiriki kombe la kagame
my take.
Ugomvi wa kisiasa unaingiaje kwenye muchezo.
malinzi mwenyewe ni ccm hili halimmuumizi kichwa,kaz ipo
 
Last edited by a moderator:

The Secretary General of the Council for East and Central African Football Associations (CECAFA), Nicholas Musonye, has said all is set for a successful regional 2014 CECAFA Kagame Club Championship to take place in Kigali, Rwanda.

Musonye told AfricanFootball.com that after his meeting with the Football Association of Rwanda and government officials last week, he is hopeful that the event will be one of the best organised and very competitive.

The regional tournament, meant for clubs in the region that win their respective leagues, will take place August 9-23 in Kigali. The event is partly sponsored by the football-passionate President of Rwanda, Paul Kagame.

He revealed that since teams from DR Congo indicated that they will be busy in August, they have opted not to have guest teams from outside the CECAFA region. Because of that, Musonye said teams like Sports Club Victoria University or AFC Leopards of Kenya may be invited.

The official reasoned that SC Victoria University, who won the inaugural 2014 CECAFA Nile Basin Cup in Sudan early this month, and AFC Leopards, who came second, proved that they have what it takes to compete against league champions from other countries.

Coach George Nsimbe’s KCCA FC will represent Uganda at the tournament, while Gor Mahia, which also has four Ugandan players, will represent Kenya. Rwanda’s Rayon Sport and Young Africans of Tanzania will join defending champions Vital ‘O from Burundi in the competition.

Hawa jamaa wa yanga wanaleta yale mambo ya kinafiki tu,hilo tunalielewa kumchukia kagame hakuta wasaidia lolote wapenda michezo,kwa pk ndiye kiongozi aliye inusuru CECAFA kwani bila yeye sidhani kama tungekua tunaongea EAC club champions.
Musonye ? CECAFA Kagame Club Championships set for Kigali - FUFA Super League 2013/14
 

Hivi unawezaje kujitoa kama hukuingia? Na ilijuaje imeingia kama haikuingizwa mpaka iamue kujitoa?
Hizi ndio timu zetu na zina dream kuuuuuubwa huku zikitegemea kufikia kupitia magazeti!!
 
Kwa nini washiriki kwenda kuchukua pesa za Blood Diamond, Kagame kama Kagame hawezi kupata madolari ya kuifadhiri michuano ya CACEFA kwa hiyo anatumia hela ya damu za wananchi wa DRC.Yanga imeona mbali haitaki kushiriki kuchukua izo hela za Blood Diamond waachie wengine wenye uhitaji wakazichukue sisi hatuendi Ninawi(Kigali)
 
Yanga hawajajitoa Kagame....Huo ni uzushi tu wa Mahmoud Zubeiry.....

Uzushi huu umekanushwa tangu jana kwenye Ukurasa rasmi wa Yanga wa Facebook....

Pia Shaffih Dauda na Saleh Ally wameliandika hili.....Bin Zubeiry haoni hata aibu kuendelea kuiacha hii habari....Wakiitwa waandishi wa Habari maKanjanja wananuna....

YANGA SC YAKANUSHA TAARIFA ZA KUJITOA KOMBE LA KAGAME, YASEMA HUO NI UZUSHI TU! | Shaffih Dauda

YANGA YASUBIRI BARUA YA TFF IANZE SAFARI YA KWENDA RWANDA KUSHIRIKI KAGAME - SALEH JEMBE
 
Ki ukweli mie mashindano/bonanza ya CECAFA sioni faida yake kisoka tofauti na mapato ya mtu binafsi hasa viongozi wake.
 
"Sie" ndio nini? tuwe makini kutoa taarifa rasmi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…