Yanga yagomea ushindi wa Simba FIFA

Yanga yagomea ushindi wa Simba FIFA

wangejua hata ligi ya uk inakanuni zisizoendana na fifa wasingejisumbua kipigo kimewachanganya sasa wanatafuta ushindi nje ya uwanja bahati nzuri simba waliandika barua kutaka ufafanuzi kabla hata ya kumchezesha
 
Mkuu mimi hii nimeipenda sana, kwa hiyo wanamaanisha kua wamemfungwa kwa sababu Ibrahim Ajib amecheza asingecheza wasingefungwa. Hii ni sawa na kuiandaa timu kisaikolojia kwa ajili ya kufungwa kila wakikutana na simba.
 
Kipigo kimiwachanganya waendekokote waliisha pakuliwa moja bila goli zuri sana na ni magoli machache yaliyowah kufungwa dunian
 
Hata tukichukuliwa pointi tatu, lakini Yanga wanajua kuwa Ajib ni mchezaji halali wa Simba, hivyo kimpira uwanjani hawatuwezi.
Kipigo ni kile kile, yaani wasithubutu kuutafuta ubingwa kwa njia za panya! Ajib ni mchezaji wa Simba, sio Miembeni ya Zannzibar.
 
Mi napendekeza turudiane na Yanga siku yoyote watayoipanga wao na ikiwezekana sisi Simba tucheze pungufu.
 
Safi hawa mikia huwa wanajifanya nao wanajua sheria sana, nakumbuka walipokea kipigo kitakatifu toka kwa TP Mazembe, wakawafanyia fitina Tp mazembe eti kuna mchezaji hakustahili kucheza siku hiyo. Mmfyuuuuuuuuuuuuuuuuuu, pumbavu ninyi sasa zamu yenu sio mnajua kuwafanyia fitina wenzenu tu. Yanga tukomae wapokonywe point 3
 
kwanin hamkukomaa siku ile taifa
 
Tulikomaa lakini samba wana njia nyingine ambazo sio nzuri kwa maendeleo ya soka

ufinyu wa mawazo huo wenzio wanatoa jasho uwanjani nyie mnakimbilia makabrasha kulilia lia nDaLa bwana
 
ufinyu wa mawazo huo wenzio wanatoa jasho uwanjani nyie mnakimbilia makabrasha kulilia lia nDaLa bwana

Ninyi mbona mlifanyia Tp mazembe ? au ndiyo mambo ya nyani haoni kundule lake, tena mlikuwa mmebakwa goli nyingi sana
 
Wanataka ushindi wa mezani, wanajua fika uwanjani wao ni midabwada tu.

Je wangekuwa wameshinda hayo yangetokea?

Huo ufafanuzi wa kuwa na kadi nyekundu na kupewa
ofa ya kuchagua kati ya mechi tatu zinazofuata utaacha/utachze
zipi ni kama umeshatolewa sana na akina baba wanne (Maulid wa Kitenge).

Hapa kinachoonekana ni uchungu wa kufungwa tu.
 
yanga hawana wanasheria waacheni waende huko.
 
Back
Top Bottom