Kuchelewa ndege sio habari ?Hawa waandishi uchwara taabu sana, hiyo nayo umeona Habari ya kutuletea hapa, hiyo ni Timu ya mpira lete Habari za uchambuzi kuhusu mechi yao iliyopita, nini kimechangia mafanikio au mapungufu gani yalisababisha, lakini pia linganisha na wenzao kwa nini wamepata mafanikio dhidi ya yanga, na je nini kifanyike ili Timu zetu zifanikiwe zaidi, upuuzi wa kuachwa na ndege unafaida gani kwa hiyo Timu ya mpira? ? Acheni uandishi wa umbea umbea na MATUKIO, hovyo kabisa !!
Hakuna lolote, ingekuwa yanga ni kampuni ya ndege hiyo Ingekuwa Habari muhimu, amkeni basi nyie watuKuchelewa ndege sio habari ?
Jamii inataka kujua mbona leo hawajawasili Nchini wataambiwa wamechelewa ndege, hiyo ni habari na tena ina sifa zote za kuwa habari
Unajua Maana ya HABARI?Hakuna lolote, ingekuwa yanga ni kampuni ya ndege hiyo Ingekuwa Habari muhimu, amkeni basi nyie watu
Haina umuhimu wowote kwa wasomaji, nikupoteza rasilimali tuUnajua Maana ya HABARI?
Kuna rasilimali yako imetumika katika hiyo habari?.Haina umuhimu wowote kwa wasomaji, nikupoteza rasilimali tu
Umeshasema hili ni jukwaa huru, uhuru huo ndiyo ulioleta hoja yangu kuwa Habari haina mashiko, usinilazimishe kuamini kuwa hii ni Habari muhimu kwangu, kaa na mawazo yako sihitaji ku kubadili na usinibadili msimamo pia.Kuna rasilimali yako imetumika katika hiyo habari?.
Acha hasira za kijinga Timu ipo Algeria ilienda kwa taarifa na kurudi inarudi kwa taarifa ila kulingana na taarifa iliyotoka kuwa wangekuja leo haikuwa kweli tunataka kujua kisa nini tunajuzwa kuwa wamechelewa ndege.
Unataka taarifa iwe inahusu siasa au kupotea kwa watu?
Hakuna rasilimali iliyotumika hapo katika hiyo habari na hili ni jukwaani la michezo linahusu habari zote za michezo sio lazima kila mmoja aandike kwa jinsi itakavyokupendeza acha watu waandike habari ili mradi ziwe za kweli na wewe ukiona unataka kuweka mjadala hapa weka tutadadavua hiyo ndiyo maana sahihi ya mawazo huru kwa kila mtu.
Kama umeumia kwa hii habari basi utakuwa una matatizo.
Jipange !! Hayo maneno nayasikia kwa wanawake mara nyingi.Umeshasema hili ni jukwaa huru, uhuru huo ndiyo ulioleta hoja yangu kuwa Habari haina mashiko, usinilazimishe kuamini kuwa hii ni Habari muhimu kwangu, kaa na mawazo yako sihitaji ku kubadili na usinibadili msimamo pia.
Pili, mimi si muumini wa Siasa na sihitaji maelezo yoyote pia juu ya eneo hilo.
Tatu, kuanzia leo tambua kuwa hata muda wa kusoma na kujibu upuuzi ni rasilimali inayopotea.
Jipange.
Hawa waandishi uchwara taabu sana, hiyo nayo umeona Habari ya kutuletea hapa, hiyo ni Timu ya mpira lete Habari za uchambuzi kuhusu mechi yao iliyopita, nini kimechangia mafanikio au mapungufu gani yalisababisha, lakini pia linganisha na wenzao kwa nini wamepata mafanikio dhidi ya yanga, na je nini kifanyike ili Timu zetu zifanikiwe zaidi, upuuzi wa kuachwa na ndege unafaida gani kwa hiyo Timu ya mpira? ? Acheni uandishi wa umbea umbea na MATUKIO, hovyo kabisa !!
Kwa kuwa ni mmoja waoJipange !! Hayo maneno nayasikia kwa wanawake mara nyingi.
Una ukike mwingi tulia !!Kwa kuwa ni mmoja wao
Hakuna povu binti, taifa kubwa hapaUchambuzi umeshafanyika labda umebaki uchakondoo tu. Uchambuzi ni kuwa Yanga kapigwa 4 mtungi. Uchakondoo ni kuwa mbona povu linakutoka
Unajua Maana ya HABARI?