wewe unabishana kishabiki zaidi si kihoja hata vijembe vyako vinaonekana vya kiswazi........nenda mwembe Yanga
Kwa hiyo miaka 5 x bil 1.2 = na bil 600?itawezekana mfano wanachama laki moja kwa mwaka ni shs bilion 1 na elfu 200 kwa miaka 5 sawa na bilion 600
Yanga wako bize kupamba CV yao
Hiyo heading nilfikiri ni mchezaji ndo kavunjiwa mkataba
Yanga imeingia mkataba na benki ya CRDB na kuitosa Benki ya Posta, CRDB imesema ndani ya miaka mitano Yanga itakuwa tajiri kama Manchester United.
soma content halafu ufanye analysis contextually usiwe Belo la mitumbaMkuu,sometimes you need to think big,
CRDB ni among the best brand kwenye bank industry kwenye coverage,services,technology,profit huwezi linganisha na Poastal Bank.Wafanyabiashara na wafanyakazi wengi wanatumia CRDB over Poastal. Ukilist benk 5 zinazofanya vizuri huwezi kuta Poastal Bank ,Sio kila mahali mnaleta ushabiki
simba ina watu makin sana