MmakondeMmakonde
Member
- Jun 22, 2013
- 76
- 13
Timu ya Yanga nitimu kubwa na inawapenzi wengi kama ilivo Simba kwa hapa nchini.Kitendo cha Tff kutaka kuwaingiza mkenge wa kukubali udhamini wa Azam ni kuidhalau.Fedha wanayopata toka ka kwa mgadhili wao mkuu na mwenyekiti wao bwana Manj,ni kubwa kuliko hiyo ya ufadhili wa Adui yao.nawashauri wapokee ufadhili wa pepsi cola wa mil.600 tuone hao tff watambuluza nani.